Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

"Ila Jiwe ni kima kabisa eti watu waendelee kuchapa kazi uku yeye kajificha duh"
Mkuu hatoki ata ndani kama zamani tulivyomzoea kipindi cha nyuma akiwa likizo alikua anafanya kazi ya kuzungukia eneo la nyumbani kwake kuangalia mandhari na miti yake kuanzia geti la chini..nyumba za makazi..bwalo la chakula..kibanda cha Mbwa..tanki la maji..hoteli za wageni..hoteli la abiria wapita njia...kwa bibi yetu..sehemu ya kupumzika...makaburi then anamalizia kanisani alafu anarudi ndani.
Kwasasa hatoki ndani kabisa.
 
Saccos wamekimbia Bunge lakini tulishawazoea siyo mara ya kwanza kukimbia hata bunge la katiba walikimbia lakini leo wanataka Katiba Mpya!
ccm ndio saccos bana kuna mtu kajichimbia anachota pesa za umm na kufanya anachotaka.....zingien ananunulia wabunge wala hakuna liccm la kumhoji......amechota 1.5tn hakuna lisisiemu linahoji hii ndio saccos ya wenyewe tangu uhuru ,mbwa wewe
 
Mkuu hatoki ata ndani kama zamani tulivyomzoea kipindi cha nyuma akiwa likizo alikua anafanya kazi ya kuzungukia eneo la nyumbani kwake kuangalia mandhari na miti yake kuanzia geti la chini..nyumba za makazi..bwalo la chakula..kibanda cha Mbwa..tanki la maji..hoteli za wageni..hoteli la abiria wapita njia...kwa bibi yetu..sehemu ya kupumzika...makaburi then anamalizia kanisani alafu anarudi ndani.
Kwasasa hatoki ndani kabisa.
Sasa kwani hujasikia serikali imeshasema kupunguza mikusanyiko isiyo ya lazima?
 
ccm ndio saccos bana kuna mtu kajichimbia anachota pesa za umm na kufanya anachotaka.....zingien ananunulia wabunge wala hakuna liccm la kumhoji......amechota 1.5tn hakuna lisisiemu linahoji hii ndio saccos ya wenyewe tangu uhuru ,mbwa wewe
Kumbe unaelewa huna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kutoa mapovu tu nyuma ya keyboard!
 
Back
Top Bottom