Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

denooJ,
Run run I say run my daughters, sons, sisters and brothers that building is now a death cage! Run run run!!
 
Hata wana jamii forum wanaounga mkono mawazo ya kichadema chadema humu jamvini ndiyo tiliopaza sauti mwanzoni kabisa tena nakumbuka niliandika "Corona ikifanya makao makuu yake sehemu fulani basi mtazika hadi muishiwe makaburi" mwisho wa kujinukuu. Nakumbuka ilikuwa mwanzoni mwa mwezi march maccm yalitushambulia yakituambia eti huko kwenu kuna Corona?
 
Hawakujua haya Kabla ?

Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Looh, kwanini umekomenti kabla hujasoma? Msigwa alianza kutoa hoja kabla hata corona haijaingia nchini kuwa bunge lijadili athari na mikakati bunge chini ya Ndugai likibeza mchango huo.

Wabunge upinzani kila wasimamapo hushauri bunge kuhusu hatua za kuchukua hakuna anayewasikiliza.
Na wamesema watasalia Dodoma majumbani mwao hawaendi majimboni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni Chadema kwa uamuzi huu.
IMG_20200501_115112.jpg
IMG_20200501_115116.jpg
 
Wabunge wa CCM endeleeni kuchapa kazi, kufa na corona ni fursa ya kupata nafasi ya kwenda kuwa wenyeviti wa malaika.
 
Huwezi jua wewe ass uwezo wako wa IQ na EQ ni mdogo sana!
we mbwa umehamia kwenye IQ unaijua maana ya IQ 7EQ? Role model wako ni jiwe, bashite na musiba una IQ wewe km sio sifuri kabisa.....Kwa IQ yako ya sifuri Unaijua saccos ya chato?
 
Wanaotaka Katiba mpya ni wabunge wa CHADEMA ama ni wananchi wengi wa Tanganyika na Zanzibar?
Sasa hivi tunaongelea Wabunge wanaokimbia Bunge hata 2014 walikimbia Bunge la Katiba wakasababisha tusipate Katiba Mpya kwa kuwa waliona haina maslahi kwao.
 
Wakae nyumbani tu, as kodi zetu zinawapa kiburi hicho.

Ila watambue kwamba, wananchi hawajawachagua ili wakakae nyumbani, waliwachagua ili wakawawakilishe bungeni.
Wanajua sana kwamba wamechaguliwa ili kuwakilisha wananchi bungeni na siyo ili wakafie bungeni.
Hata ningekuwa mimi ningesepa tu, huo ushujaa wa kuiendea hatari ninayoiona kwa macho yangu sina.
Kimbia hatari uitwe mwoga lakini usalimishe uhai wako ua subiri hatari ili uitwe shujaa halafu ukatulie kaburini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we mbwa umehamia kwenye IQ unaijua maana ya IQ 7EQ? Role model wako ni jiwe, bashite na musiba una IQ wewe km sio sifuri kabisa.....Kwa IQ yako ya sifuri Unaijua saccos ya chato?
Narudia tena uwezo wako wa kuchambua mambo ni zero!
 
Back
Top Bottom