Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Lolote ndio nini mkuu wa saccos?Kumbe unaelewa huna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kutoa mapovu tu nyuma ya keyboard!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lolote ndio nini mkuu wa saccos?Kumbe unaelewa huna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kutoa mapovu tu nyuma ya keyboard!
Wanaotaka Katiba mpya ni wabunge wa CHADEMA ama ni wananchi wengi wa Tanganyika na Zanzibar?leo wanataka Katiba Mpya!
Tuliwatuma wakatuwakilishe bungeni, sio wakafie bungeni.Wakae nyumbani tu, as kodi zetu zinawapa kiburi hicho.
Ila watambue kwamba, wananchi hawajawachagua ili wakakae nyumbani, waliwachagua ili wakawawakilishe bungeni.
Huwezi jua wewe ass uwezo wako wa IQ na EQ ni mdogo sana!Lolote ndio nini mkuu wa saccos?
Saccos ya Chadema wameshajua mwisho wao ni bunge hili.Mungu ibariki Chadema
Looh, kwanini umekomenti kabla hujasoma? Msigwa alianza kutoa hoja kabla hata corona haijaingia nchini kuwa bunge lijadili athari na mikakati bunge chini ya Ndugai likibeza mchango huo.Hawakujua haya Kabla ?
Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
we mbwa umehamia kwenye IQ unaijua maana ya IQ 7EQ? Role model wako ni jiwe, bashite na musiba una IQ wewe km sio sifuri kabisa.....Kwa IQ yako ya sifuri Unaijua saccos ya chato?Huwezi jua wewe ass uwezo wako wa IQ na EQ ni mdogo sana!
Wanachokifanya ni Utoro. Wasimamishwe mara moja.
Sasa hivi tunaongelea Wabunge wanaokimbia Bunge hata 2014 walikimbia Bunge la Katiba wakasababisha tusipate Katiba Mpya kwa kuwa waliona haina maslahi kwao.Wanaotaka Katiba mpya ni wabunge wa CHADEMA ama ni wananchi wengi wa Tanganyika na Zanzibar?
Wanajua sana kwamba wamechaguliwa ili kuwakilisha wananchi bungeni na siyo ili wakafie bungeni.Wakae nyumbani tu, as kodi zetu zinawapa kiburi hicho.
Ila watambue kwamba, wananchi hawajawachagua ili wakakae nyumbani, waliwachagua ili wakawawakilishe bungeni.
Imebidi nicheke tu[emoji23][emoji23]Hahaha wabunge wa ccm ni kama basi lililofeli brek,dereva karuka alafu konda kakaa mlangoni anasema " wanaoshuka mladizi wajiandae"
Sent using Jamii Forums mobile app
EQ ndio nini na inahusika vipi na hoja aliyotoa Jile79 ?Huwezi jua wewe ass uwezo wako wa IQ na EQ ni mdogo sana!
Narudia tena uwezo wako wa kuchambua mambo ni zero!we mbwa umehamia kwenye IQ unaijua maana ya IQ 7EQ? Role model wako ni jiwe, bashite na musiba una IQ wewe km sio sifuri kabisa.....Kwa IQ yako ya sifuri Unaijua saccos ya chato?
Angalia asije akaku....! Ngoja niishie hapa!Bulaya ni jembe sana, yaani nikimuona tu huwa nawapenda wanawake wote!