Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Sasa hivi tunaongelea Wabunge wanaokimbia Bunge hata 2014 walikimbia Bunge la Katiba wakasababisha tusipate Katiba Mpya kwa kuwa waliona haina maslahi kwao.
Unataka kusema kuwa wabunge wa CHADEMA wa leo ndio wale wale wa mwaka 2014? Bulaya mtoa taarifa mwaka 2014 alikuwa ni mbunge wa CHADEMA?

Na kati ya CHADEMA na CCM chama gani kilikuwa na wabunge wengi kwenye Bunge la Katiba? Yaani wabunge wachache walisababishaje wabunge wengi washindwe kupitisha Katiba waliyoitaka? Wana CCM waliobaki kwa nini hawakupitisha hiyo Katiba waliyoitaka?
 
NGUVU YA UMMA!
WATZ tunawapongeza sana kwa maamuzi haya ya AKILI, BUSARA NA HEKIMA........
Ila mjiandae na HASIRA YA FARAO
 
Wanajua sana kwamba wamechaguliwa ili kuwakilisha wananchi bungeni na siyo ili wakafie bungeni.
Hata ningekuwa mimi ningesepa tu, huo ushujaa wa kuiendea hatari ninayoiona kwa macho yangu sina.
Kimbia hatari uitwe mwoga lakini usalimishe uhai wako ua subiri hatari ili uitwe shujaa halafu ukatulie kaburini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomba ubunge wa nini kama wanalimitations katika kuwawakilisha wananchi?? Ukiona huwezi jambo unaacha tu sio kudangaya watu na kuja kuwakimbia huko mbeleni, huo ni kama utapeli flani hivi.

Nawashauri wananchi nao wawakimbie watakapokuja kuwaomba kura kipindi cha uchaguzi kwani wameonesha kutoheshimu kura zao.
 
Narudia tena uwezo wako wa kuchambua mambo ni zero!
Narudia tena......Una IQ ya zero kwa kuangal;ia role models wako....Kakojoe kalale lkn usisahau kufuata buku7 yako lumumba kwa kazi kubwa uliyofanye siku ya leo.....YAANI UMECHAPA KAZI SAWASAWA NG'OMBE WEWE
 
Waliomba ubunge wa nini kama wanalimitations katika kuwawakilisha wananchi?? Ukiona huwezi jambo unaacha tu sio kudangaya watu na kuja kuwakimbia huko mbeleni, huo ni kama utapeli flani hivi.

Nawashauri wananchi nao wawakimbie watakapokuja kuwaomba kura kipindi cha uchaguzi kwani wameonesha kutoheshimu kura zao.
Una akili fupi sana. Yaani wewe unawaza uchaguzi wakati huna afya? Mungu akuhurumie tu wewe mkosa maarifa
 
Wamechelewa saana!! Au ni Ile ngoja Kwanza tuone!! Sasa kimeonekana kilichokuwa kikiwasubirisha kuwa ni cha moto, na wengine wote watasambaratika tu, mbaya kabisa wao watasahau hata kuaga!! Subiri muone!!!
 
Waliomba ubunge wa nini kama wanalimitations katika kuwawakilisha wananchi?? Ukiona huwezi jambo unaacha tu sio kudangaya watu na kuja kuwakimbia huko mbeleni, huo ni kama utapeli flani hivi.

Nawashauri wananchi nao wawakimbie watakapokuja kuwaomba kura kipindi cha uchaguzi kwani wameonesha kutoheshimu kura zao.
mwambie kwanza jiwe alijificha chini ya uvungu. hivi unajua kama wabunge wengi wa CCM wamekimbia hovyo hovyo hawapo bungeni?
 
Back
Top Bottom