Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

Ili iwe fundisho kwa viongozi wengine in future hayo mamiradi yaachwe yajifie au watu binafsi waachwe waiendeshe ili iwe painful lesson kwa viongozi wenye maamuzi ya hovyo kama haya.
 
Umbali kwenda Bukoba mjini kufuata huduma ni hoja dhaifu na ya kipimbi, kwa nini usafiri 100 km kufuata huduma badala ya huduma kukufuata hapo ulipo?? Mimi ninachokipinga ni kwamba huu mkoa mpya kwa nini uanzishwe ili kumfurahisha mtu/kikundi cha watu badala ya kufuata vigezo?? Tanzania kwa sasa mikoa yenye vigezo kugawanywa ni Tabora na Morogoro basi.
 
Kwa nini msianzishe mkoa wenu wenyewe bila kumega mikoa ya wenzenu? Acheni ufala banaaaa...
 
Inatakiwa hiyo miradi ife ili iwe fundisho kwa viongozi wengine kutofanya maamuzi ya kiubinafsi.
 
Kutoka Ngara mpaka Bukoba ni kilomita 320, kutoka Ngara mpaka Chato hazifiki kilomita 70. Hao wabunge wanaongozwa na historia ya miaka na miaka hawaongozwi na mahitaji ya kijiografia, hawatazami watu wa sasa wa Ngara wanataka nini cha maendeleo.
Ukiwapa chaguo watu wa Ngara na Biharamulo wachague wapi yawe makao makuu ya Mkoa wao, I assure you watachagua Bukoba. Hawatansahau Magufuli alivyo Diverge barabara ya Lami iliyokuwa ipite Biharamulo na kuipeleka Chato alipokuwa Waziri wa Ujenzi enzi za Mkapa
 
Bukoba imekosa msaada kwa Ngara. Ni kama wahaya wameridhika na status quo ya sasa.
 
Hafurahishwi mtu, vigezo vimefuatwa.
 
Hivi çcm bado hamuamini kuwa yule kichaa wenu ni marehemu kwa sasa hajui yanayoendelea katika nchi ya walio hai?
 
Waache ubinafsi!
 
Tabora haina vigezo kwa sababu ina watu wachache sana
 
Mbona wakati unaanzishwa mkoa wa Rukwa walimega Sumbawanga toka Mbeya na Mpanda toka Tabora au ulikuwa hujazaliwa mwaka 1974 ?
Kwa nini msianzishe mkoa wenu wenyewe bila kumega mikoa ya wenzenu? Acheni ufala banaaaa...
 
Tabora haina vigezo kwa sababu ina watu wachache sana
Sidhani kama idadi ya watu ni kigezo kikubwa. Kama kingekuwa ndicho kikubwa Dar es Salaam ingekuwa na mikoa hata 6
 
Wabunge wa mkoa wa Kigoma nao wajitokeze hadharani pia, kupinga kumegwa kwa wilaya ya Kakonko kwenda kuunda mkoa wa Chato.

Kama Chato inakidhi vigezo basi iombe kuwa Jiji la Chato ili mikoa mingine isiingizwe kwenye mgao huu usio na tija.
Kweli kabisa kama kahama walivyoomba kuwa manispaa wakati ni wilaya
 
yani mnaanzisha mkoa kwa sababu tu mlisikia fulani anasema ataanzisha mkoa,bas ata mm nilimsikia anasema anataka kuanzisha mkoa wa bagamoyo.Tumege Dsm kidogo,Tanga,Morogoro na pwani.
 
Kwani hicho kituo cha kusafisha mafuta hakiwezi kujengwa mpaka chato iwe mkoa?
 
Mbona wakati unaanzishwa mkoa wa Rukwa walimega Sumbawanga toka Mbeya na Mpanda toka Tabora au ulikuwa hujazaliwa mwaka 1974 ?
Mikoa ya Mwanza na Shinyanga imemegwa juzijuzi tu kuunda mkoa wa Simiyu, Mbona sijamuona mtu akilalamika?
 
Wabunge wa mkoa wa Kigoma nao wajitokeze hadharani pia, kupinga kumegwa kwa wilaya ya Kakonko kwenda kuunda mkoa wa Chato.

Kama Chato inakidhi vigezo basi iombe kuwa Jiji la Chato ili mikoa mingine isiingizwe kwenye mgao huu usio na tija.
GwaB Hii point yako ina QUALIFY kuianzishia THREAD in my opinion. Napedekeza kichwa;

"Wabunge wa Kigoma Jitokezeni Kupinga Kakonko Kuhamishiwa Mkoa Mpya wa Chato"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…