Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa.

Akili finyu sana wewe. Unadhani Mwl. Nyerere angekuwa na ubinafsi wa kujijali sisi wenyewe unadhani ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika ungekuja mapema? Acha ubinafsi wewe.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo mambo ya UG huwezi fananisha na ya Afrika ya Kusini wakati huo!! Wewe uhuni wa kumrudisha mawe rais aliyechaguliwa na wananchi unalinganisha na ubaguzi wa rangi wa Afrika ya Kusini wakati wa waubaguzi wa rangi?? By the way hata Afrika ya Kusini ya sasa nani anafaidi kama siyo hao hao Makaburu??
 
Totally true!
Mwenye Enzi Mungu hawezi kuacha Africa iangamie tena kwa ajili ya mazezeta wanao abudu ujinga wa wadhungu walahi!
It’s time for Africa to shine walahi!
That’s all!
Africa to shine???

DICTATORS MUST FALL, AND THEIR FALL IS ALWAYS NASTY.

COWARDS LIKE YOU AND YOUR FELLOW ZOMBIFIED CRONIES WILL GO DOWN WITH THEM.

MTAKOMA HAKI YA NANI.

UDIKTEITA HAUNA NAFASI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idiot comments!
SASA WEWE ZOMBI MLAMBA VIATU VYA MADIKTETA NI WA KUHURUMIA TU.

I'M JUST GIVING YOU FACTS.

MADIKTETA WOTE HUANGUKA KWA KISHINDO NA KWA FEDHEHA.

LIGADAFI LILIKUTWA LIMEJIFICHA PANGONI LIKAZABWA VIBAO NA KUTEMEWA MATE.

KAMUGABE KALIPINDULIWA NA JESHI KAMA KAPANYA.

YAHYA JAMMEH WA GAMBIA ALITIMULIWA KAMA MBWA KOKO.

BADO MUSEVEN AMBAYE NAYE ATAANGUKA VIBAYA SANA.

DICTATORS MUST FALL!!!!

THAT'S ALL... ISIS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuota wewe ass!!
 
Endelea kuota wewe ass!!
NASHINDWA KUAMINI KAMA KUNA MTU KAMA WEWE DUNIANI ANAYETETEA UDIKTETA!!

HIVI NI KWELI UNATETEA UDIKTETA?????


Hahahahahahaaaaa

LET ME GIVE YOU THESE FACTS;

1) NAKUAPIA, MADIKTETA WOTE HUANGUKA VIBAYA.

2) MADIKTETA WOTE HUDHANI KWAMBA HAWAWEZI KUANGUSHWA, LAKINI HUANGUKA.

3) MADIKTETA HUANGUKA KWA FEDHEHA.

4) MUDA HUZUNGUMZA YOTE.

BADALA YA KUWAABUDU MADIKTETA, NAKUSHAURI NDUGU YANGU, ANDAA NJIA NZURI KWA AJILI YAKO NA FAMILIA YAKO BAADA YA WEWE KUFA ILI WAWEZE KUISHI BILA KUTEGEMEA HISANI ZA KULAMBA VIATU VYA MADIKTETA.

I'M TELLING YOU SOLEMNLY.... WEWE NA MAZOMBI WENZAKO MTAANGUKA NA KUANGAMIA VIBAYA.

VIBAYA, VIBAYA, VIBAYA SANA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa mafeelings hapa, dikteta wote? Mbona mao, fidel, nyerere etc wametoka kwa heshima zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAKUMBUKA WAKATI YAHAYA JAMEH RAIS WA GAMBIA ALIPOKUWA ANATIMULIWA NA MAJESHI YA AFRICA MAGHARIBI, WALIKUWEPO WATU WAKAWA WANAMTETEA NA KUSEMA HAWEZI KUNG'OLEWA.

WOTE TUNAJUA YALIYOMPATA. YAHAYA JAMEH ALIFUKUZWA KAMA JIBWA KOKO.

WAKATI MUGABE ANAPINDULIWA NA JESHI, BAADHI YA WAPAMBE WA MADIKTETA WAKASEMA HAWEZI KUNG'OLEWA.

AMIN, AMIN, AMIN NINAKWAMBIA, MUGABE ALING'OLEWA KAMA PIMBI PORI MMOJA TU.

WAKATI GADAFI ANAPEWA KICHAPO NA MAJESHI YA KIMATAIFA, WAPO WALIOSEMA, HAWAWEZI KUMDONDOSHA.

HATIMAYE GADAFI ALIFEDHEHESHWA NA KUANGUSHWA KWA AIBU KUU.

NA MUSEVEN NAYE, ATAANGUKA TUU.

LEO AU MWAKANI AU MWEZI UJAO, LAZIMA DIKTETA ADONDOKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah wapi? Tunawatumia National Youth Services wanafagia jeshi lenu la polisi alafu tunawatuma polisi wetu wa traffic kuwanyamazisha wanaheshi wenu(JWTZ) kisha tunamwapisha Lissu kama Rais wa Muungano wa Tz na Zanzibar.
Sifagilii ccm lakin kufananisha jeshi letu na matrafiki wa kwenu ukome kabisa jeshi letu ni hajapatikana tu wakulitumia vizuri nyerere alilitumia kumtoa idd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…