Utanyooka tu!!Kwani rais lazima atoke upinzani, tunachotaka ni kuondoa udikteta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utanyooka tu!!Kwani rais lazima atoke upinzani, tunachotaka ni kuondoa udikteta.
Totally true!Jamaa hawampeni m7, kama vile wasivyompenda JPM, Ila watanyooka tu. Time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo mambo ya UG huwezi fananisha na ya Afrika ya Kusini wakati huo!! Wewe uhuni wa kumrudisha mawe rais aliyechaguliwa na wananchi unalinganisha na ubaguzi wa rangi wa Afrika ya Kusini wakati wa waubaguzi wa rangi?? By the way hata Afrika ya Kusini ya sasa nani anafaidi kama siyo hao hao Makaburu??Akili finyu sana wewe. Unadhani Mwl. Nyerere angekuwa na ubinafsi wa kujijali sisi wenyewe unadhani ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika ungekuja mapema? Acha ubinafsi wewe.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Africa to shine???Totally true!
Mwenye Enzi Mungu hawezi kuacha Africa iangamie tena kwa ajili ya mazezeta wanao abudu ujinga wa wadhungu walahi!
It’s time for Africa to shine walahi!
That’s all!
Idiot comments!Africa to shine???
DICTATORS MUST FALL, AND THEIR FALL IS ALWAYS NASTY.
COWARDS LIKE YOU AND YOUR FELLOW ZOMBIFIED CRONIES WILL GO DOWN WITH THEM.
MTAKOMA HAKI YA NANI.
UDIKTEITA HAUNA NAFASI.
Sent using Jamii Forums mobile app
SASA WEWE ZOMBI MLAMBA VIATU VYA MADIKTETA NI WA KUHURUMIA TU.Idiot comments!
Ninyooke kwa lipi.Utanyooka tu!!
Endelea kuota wewe ass!!SASA WEWE MLAMBA VIATU VYA MADIKTETA NI WA KUHURUMIA TU.
I'M JUST GIVING YOU FACTS.
MADIKTETA WOTE HUANGUKA KWA KISHINDO NA KWA FEDHEHA.
LIGADAFI LILIKUTWA LIMEJIFICHA PANGONI LIKAZABWA VIBAO NA KUTEMEWA MATE.
KAMUGABE KALIPINDULIWA NA JESHI KAMA KAPANYA.
YAHYA JAMMEH WA GAMBIA ALITIMULIWA KAMA MBWA KOKO.
BADO MUSEVEN AMBAYE NAYE ATAANGUKA VIBAYA SANA.
DICTATORS MUST FALL!!!!
THAT'S ALL... ISIS
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuzoea vya kunyonga sasa havipatikani tena!!Ninyooke kwa lipi.
NASHINDWA KUAMINI KAMA KUNA MTU KAMA WEWE DUNIANI ANAYETETEA UDIKTETA!!Endelea kuota wewe ass!!
Unajua niko wapi na ninakazi gani au unadhani wote ni wanasiasa.Kwa kuzoea vya kunyonga sasa havipatikani tena!!
Toa mafeelings hapa, dikteta wote? Mbona mao, fidel, nyerere etc wametoka kwa heshima zote.NASHINDWA KUAMINI KAMA KUNA MTU KAMA WEWE DUNIANI ANAYETETEA UDIKTETA!!
HIVI NI KWELI UNATETEA UDIKTETA?????
Hahahahahahaaaaa
LET ME GIVE YOU THESE FACTS;
1) NAKUAPIA, MADIKTETA WOTE HUANGUKA VIBAYA.
2) MADIKTETA WOTE HUDHANI KWAMBA HAWAWEZI KUANGUSHWA, LAKINI HUANGUKA.
3) MADIKTETA HUANGUKA KWA FEDHEHA.
4) MUDA HUZUNGUMZA YOTE.
BADALA YA KUWAABUDU MADIKTETA, NAKUSHAURI NDUGU YANGU, ANDAA NJIA NZURI KWA AJILI YAKO NA FAMILIA YAKO BAADA YA WEWE KUFA ILI WAWEZE KUISHI BILA KUTEGEMEA HISANI ZA KULAMBA VIATU VYA MADIKTETA.
I'M TELLING YOU SOLEMNLY.... WEWE NA MAZOMBI WENZAKO MTAANGUKA NA KUANGAMIA VIBAYA.
VIBAYA, VIBAYA, VIBAYA SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoloni mweusi ni hatari kuliko mzunguWale walikuwa ni wadhungu na tuliwasaidia kupata uhuhuru!
TULIWASAIDIA KUPATA UHURU KUTOKA KWA WADHUNGU!
Jiongeze kidogo kijana mdogo duh!
JidanganyeAcha sisi na nchi yetu Tanzania tupige biashara walahi!
ITS OUR TIME TO SHINE WALAHI!
That’s all
Th
Alikuwa nyerere sio hawa wa sahiv nahisi hata kagera wangemuachia nduliHata sisi tulishawahi kwenda Uganda.
Comoro tulitumwa na UN, kweli hamjui kitu nyinyi nyumbuComoro nao walichukua ardhi yetu?
Sifagilii ccm lakin kufananisha jeshi letu na matrafiki wa kwenu ukome kabisa jeshi letu ni hajapatikana tu wakulitumia vizuri nyerere alilitumia kumtoa iddAaah wapi? Tunawatumia National Youth Services wanafagia jeshi lenu la polisi alafu tunawatuma polisi wetu wa traffic kuwanyamazisha wanaheshi wenu(JWTZ) kisha tunamwapisha Lissu kama Rais wa Muungano wa Tz na Zanzibar.