Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

..kama kuna suala NYETI/SIRI/CLASSIFIED basi suala hilo halitajadiliwa in public bali ktk vikao vya faragha baina ya wabunge na wakuu wa vyombo vya usalama.
Sio wabunge wote wanapewa hiyo privilege. Labda useme kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya ulinzi na usalama
 
Mleta maada umeandika mada ndefu ungeandika paragraph moja tu isiyozidi sentensi kumi umeandika kijuaji lakini hewa Wala hujajenga hoja vizuri pamoja na kuwa uko sahihi kwenye heading
 
Mleta maada umeandika mada ndefu ungeandika paragraph moja tu isiyozidi sentensi kumi umeandika kijuaji lakini hewa Wala hujajenga hoja vizuri pamoja na kuwa uko sahihi kwenye heading
Hayo ni mawazo yako na sio lazima yafanane na mawazo yangu
 
Wanasiasa wa upinzani watakutukana sana katika uzi huu. Mark my words.
 
Mleta maada umeandika mada ndefu ungeandika paragraph moja tu isiyozidi sentensi kumi umeandika kijuaji lakini hewa Wala hujajenga hoja vizuri pamoja na kuwa uko sahihi kwenye heading
Hater at work. Roho mbaya haijengi mkuu
 
Hii wenzetu wanaita "deception by omission", ni kweli hata kwa wenzetu sio kila kitu kinawekwa hadharani, umetoa mfano wa George Tenet, lakini hujasema US Congress wana utaratibu wa kuwa briefed kuhusu classified issues. Umewahi kusikia kitu kinaitwa Gang of Eight? Kama unakijua basi umeamua tu kutosema kila kitu ili utetee point yako; kama hukijui basi ulipaswa kufanya research zaidi.
 
Hii wenzetu wanaita "deception by omission", ni kweli hata kwa wenzetu sio kila kitu kinawekwa hadharani, umetoa mfano wa George Tenet, lakini hujasema US Congress wana utaratibu wa kuwa briefed kuhusu classified issues.
Briefing inafanywa kwa "some members of the congress" na sio kwa members wote@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…