Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #221
aiseeKama wewe umepatikana unauliza nini sasa.
Usiwe na mifano ya mfu
Wrong...Jambo lamsingi nikujua Vita dhidi ya Watawala na Watawaliwa katika kupigania Power kwa upande mmoja, na Uhuru kwa Upande mwingine havita isha.
Safi sana...Kuna mambo mengine hata ukiyajua hayana msaada kwako. Badala yake yanakuwa ni hatari kwa usalama wa nchi ....naona mifano kama hii itakufaa zaidi, mleta mada ameshakutolea mfano still bado wewe huelewi .
What is this map for then?Kama watu walipita kote na kufika sehemu husika, nazani ni utoto kuto uliza View attachment 927895
Hata mimi ninashangaa mkuu...Tatizo wanasiasa wetu wengi wao wanadhani ni haki yao kufahamu kila jambo linalohusu usalama .
Acha zako wewe. Usimpangie mwenzioLakini ni muhimu kuandika jambo reasonable
Kuniambia nisimpangie mwenzangu na wewe hapa utakuwa unanipangia mimi cha kufanya.Acha zako wewe. Usimpangie mwenzio
Wewe na CEO Gazprom Neft ni watani waarab na wapemba mnajuana kwa vilemba. Ngoja nisiingilie mambo yenu.Kuniambia nisimpangie mwenzangu na wewe hapa utakuwa unanipangia mimi cha kufanya.
Hahaha hapana Infantry SoldierWewe na CEO Gazprom Neft ni watani waarab na wapemba mnajuana kwa vilemba. Ngoja nisiingilie mambo yenu.
Sawa ndugu yangu.Hahaha hapana Infantry Soldier
heheheee he must be joking this soldierHahaha hapana Infantry Soldier
Haha sureheheheee he must be joking this soldier
Umefafanua kitaalam sana kijana wangu. Hakika wewe sio mtu wa kawaida. Kudos mjeda...!!!!!!!!!Wabunge wa Tanzania ni lazima wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa. Not every aspect of state security should be clarified to politicians.
UTANGULIZI
==========
Baada ya tukio la kigaidi la September 11 mwaka 2001, aliyekuwa director wa Central Intelligence Agency (CIA) kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa kuhusiana na masuala yahusuyo ulinzi na usalama wa taifa hilo.
Moja kati ya maswali mengi aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence Wing) pamoja na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya ardhi ya marekani.
Director wa CIA hakutoa ufafanuzi wowote ule zaidi ya kutoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena, which means not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla.
Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana.
Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa wachina kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Alafu kuhusiana na Police ni kwamba, hawa jamaa hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni kati ya vituo vya police na nyumba za ibada.
Police kuwa wakali sana inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa kama vile ulawiti lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police akakutana na wale jamaa wa stakishari au Oysterbay, hivyo ana ahirisha mara moja kutenda uhalifu.
ANGALIZO: Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED. NINAKARIBISHA WAKOSOAJI.
OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO
Hakuna la maana uliloliandika hapa kaka yangukwamfano wanasiasa waliopigwa risasi/kupotezwa walikua na madhara gani kwa taifampaka watekwe au kushambuliwa?
mtu kusema tutashitakiwa kufuatia uvunjifu wa mikataba hovyo na mwingine kusema ana 'phd feki' ni makosa yanayo hatarisha amani ya taifa?
Punguza maneno yako ya kejeli wewe jamaa aiseeUkiwa unakula na kushiba mara nyingi akili huwa zinahama. Hata NAPE alikuwa na mawzo haya. Subiri zamu yako...........
Upo sahihi sana mkuu kuwa wanajulikana ni viongozi wa bunge kutoka chama tawala na upinzani.Wanajulikana mkuu....
Speaker of the house
Leader of the house minority
Leader of senate majority
Leader of senate minority
Chair of Senate Intel Committee
Ranking member Senate Intel Committee
Chair of House Intel Committee
Ranking member House Intel Committee
Basically viongozi wa bunge kutoka chama tawala na upinzani
Haloooo. Uzi mtamu sana huu Soldier. Umeandika nondo tupu hapa mkuuWabunge wa Tanzania ni lazima wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa. Not every aspect of state security should be clarified to politicians.
UTANGULIZI
==========
Baada ya tukio la kigaidi la September 11 mwaka 2001, aliyekuwa director wa Central Intelligence Agency (CIA) kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa kuhusiana na masuala yahusuyo ulinzi na usalama wa taifa hilo.
Moja kati ya maswali mengi aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence Wing) pamoja na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya ardhi ya marekani.
Director wa CIA hakutoa ufafanuzi wowote ule zaidi ya kutoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena, which means not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA ZIMA LA KUWACHUKUA WATU WABAYA MATEKA (WITH REFERENCE TO CHINA)
======
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla.
Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana.
Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa wachina kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Alafu kuhusiana na Police ni kwamba, hawa jamaa hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni kati ya vituo vya police na nyumba za ibada.
Police kuwa wakali sana inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa kama vile ulawiti lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police akakutana na wale jamaa wa stakishari au Oysterbay, hivyo ana ahirisha mara moja kutenda uhalifu.
ANGALIZO: Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED. NINAKARIBISHA WAKOSOAJI.
OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO
There is no way I can tell you what to do and what not to my friend.Kuniambia nisimpangie mwenzangu na wewe hapa utakuwa unanipangia mimi cha kufanya.
Umeandika kiingereza kingi mkuu. Ila msamehe tu huyo ndugu yetu ila ipo siku atayakumbuka maneno hayoThere is no way I can tell you what to do and what not to my friend.
mmhhhHaha sure