Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Mada yenye upotoshaji wa hali ya juu. We need to differentiate between usalama wa nchi na usalama wa raiya. Tusichanganye hapa, kilichokuwa kinatokea wakati wa mwendazake sio usalama wa nchi bali uonevu na woga uliokidhiri.
 
Ku
Kumbe hii post ilikuja zama za giza la jiwe! Walikuwa wanatuambia tunyamaze wakati ndugu zetu wa kibiti wakiuawa kuliko wanyama pori! Wakati viroba vikiokotwa na miili ufukweni! wakati wa kutoweshwa watu na wasiojulikana kama akina ben saa8, Azory nk. Ee Mungu ahsante kwa kutuepusha na ule uvuli wa mauti!
 
Mada yenye upotoshaji wa hali ya juu. We need to differentiate between usalama wa nchi na usalama wa raiya. Tusichanganye hapa, kilichokuwa kinatokea wakati wa mwendazake sio usalama wa nchi bali uonevu na woga uliokidhiri.
Peleka ujinga wako huko CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…