Sembinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 393
- 344
Njoo nikulee uwe serengeti boy wanguNikusaidie nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikulee uwe serengeti boy wanguNikusaidie nini??
Watoto wadogo wa secondary wapo wengi sana humu mkuu. Smartphones zimetapakaa kila kona tena kwa bei nafuu sana.Shika adabu yako wewe hakuna mtoto mdogo humu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sio kwa mkomavu kama mimi tafuta wengineNjoo nikulee uwe serengeti boy wangu
Msaidie number zako za Whatsapp Hussein Melkiory.Nikusaidie nini??
Hao watoto wadogo aliwakuta na chuchu mdomoni?Shika adabu yako wewe hakuna mtoto mdogo humu
Umri wa mtu hauna uhusiano wowote na comments zakeComments zako ndio zinazokufanya watu wakuone kama mtoto wa darasa la kwanza
Mpe wewe bossMsaidie number zako za Whatsapp Hussein Melkiory.
Kumbe hii post ilikuja zama za giza la jiwe! Walikuwa wanatuambia tunyamaze wakati ndugu zetu wa kibiti wakiuawa kuliko wanyama pori! Wakati viroba vikiokotwa na miili ufukweni! wakati wa kutoweshwa watu na wasiojulikana kama akina ben saa8, Azory nk. Ee Mungu ahsante kwa kutuepusha na ule uvuli wa mauti!Sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa. Not every aspect of state security should be clarified to politicians.
View attachment 1595058
Mfano wabunge wanaowakilisha majimbo mbalimbali ndani ya jiji la Dar wanaweza kuomba kujua "Informers wa Police" wote waliopo ndani ya jiji zima kwa maana wanalipwa kupitia pesa ambazo ni kodi za watanzania.
Je, hii ni sahihi kwa waziri wa mambo ya ndani kutoa majina yao? Kuna mambo ya kutolewa taarifa na mengine ya kukatalia kutoa taarifa (sahihi). Full Stop...!!!!!
UTANGULIZI
==========
Baada ya tukio la kigaidi la September 11 mwaka 2001, aliyekuwa director wa Central Intelligence Agency (CIA) kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa kuhusiana na masuala yahusuyo ulinzi na usalama wa taifa hilo.
Moja kati ya maswali mengi aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence Wing), FBI pamoja na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya ardhi ya marekani.
View attachment 1595059
Director wa CIA hakutoa ufafanuzi wowote ule zaidi ya kutoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena, which means not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA ZIMA LA KUWACHUKUA MATEKA WATU WABAYA (WITH REFERENCE TO CHINA)
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla.
Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana.
Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa wachina kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Alafu kuhusiana na Police ni kwamba, hawa jamaa hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni kati ya vituo vya police na nyumba za ibada.
Police kuwa wakali sana inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa kama vile ulawiti lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police akakutana na wale jamaa wa stakishari au Oysterbay, hivyo ana ahirisha mara moja kutenda uhalifu.
ANGALIZO: Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED. NINAKARIBISHA WAKOSOAJI.
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO
Jiwe ndio nani mkuu?...Kumbe hii post ilikuja zama za giza la jiwe!
Mpe hela tu huyoNikusaidie nini??
Peleka ujinga wako huko CHADEMAMada yenye upotoshaji wa hali ya juu. We need to differentiate between usalama wa nchi na usalama wa raiya. Tusichanganye hapa, kilichokuwa kinatokea wakati wa mwendazake sio usalama wa nchi bali uonevu na woga uliokidhiri.
Kiasi gani?Mpe hela tu huyo
Ukubwa una rangi gani?Utoto huu
Uliwahi kuniambia eti unakaa Kigoma. Unakumbuka?Nikusaidie nini??
Nimewahi kukaa sehemu nyingi sana ila sikumbuki kama niliwahi kukaa kigomaUliwahi kuniambia eti unakaa Kigoma. Unakumbuka?
Acha kuingia kwa IDs nyingi haina manufaa yoyote kwako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sio kwa mkomavu kama mimi tafuta wengine
"Kibololoni" uliwahi kukaa pia?Nimewahi kukaa sehemu nyingi sana ila sikumbuki kama niliwahi kukaa kigoma
Kama umekaa sehemu nyingi basi wewe ni mjanja wa DarNimewahi kukaa sehemu nyingi sana ila sikumbuki kama niliwahi kukaa kigoma
Hahahahaaa huu mkoa upo wapi mkuu?"Kibololoni" uliwahi kukaa pia?