Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa


mtu adui anaweza kuwa hata ni
ndugu yangu mimi au ndugu yako
wewe wa karibu lakini mimi na wewe
tusiwajue ila wataalam wa mambo ya
usalama wa nchi husika wakawajua
mpaka njama zao.
 
Wow!!! Yaani Jeshi la Polisi lile lile ambalo kuna matukio kadhaa kwa miaka sasa wameshindwa kuwafahamu Wahusika!

Leo hii, Jeshi la Polisi lile lile limeweza kuwafahamu Wahusika huko MKIRU just within few weeks na kuwapoteza!!

Even high school kid can never believe that!!

Hamkawagi kusema "sio kwa serikali hii" as if hiyo serikali ya JPM ipo very special!! Lakini wakati mnafikiria kusema "sio kwa serikali hii" bado nitaendelea kuwakumbusha Tundu Lissu alitaka kuuawa within government quarter inayolindwa na hadi leo tunaambiwa Wahusika hawajulikani!

Au wameamua tu kuficha?!

Sasa hili jeshi ambalo majority ya matukio wameshindwa kuwapata Wahusika; uwezo wa ghafla huko MKIRU waliutoa wapi kama si tu walikuwa wanaua watu just kwa kuambiwa kwamba fulani na fulani anahusika!

But look again!! Wale Maharamia walikuwa armed!! Pamoja na yote hayo hatukusikia askari yeyote kukatika angalau kidole as if walienda kupambana na mgambo wenye virungu!!

Wale jamaa wanafanya mashambulizi ya kuvizia! Ktk mazingira kama hayo, there's no way anaweza kukosekana majeruhi!

Hii maana yake nini? Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba REAL KILLERS walishakimbia kitambo na Polisi wakaishia kuwapoteza ndugu tu simply because walishindwa kutaja walipo Wahusika!!

Kwavile walishatoroka, it's obvious mauaji yatasimama jambo ambalo akina nyie mnataka kudanganya watu kwamba Wauaji wametokomezwa kumbe it's possibly waliotokomezwa sio Wauaji Halisi huku Wauaji halisi wakiwa wame-keep low profile !
 
mtu adui anaweza kuwa hata ni
ndugu yangu mimi au ndugu yako
wewe wa karibu lakini mimi na wewe
tusiwajue ila wataalam wa mambo ya
usalama wa nchi husika wakawajua
mpaka njama zao.
Wataalamu gani unaowazungumzia wewe?!

Hawa hawa ambao licha ya Tundu Lissu kutaka kuuawa kwenye nyumba za serikali zenye ulinzi lakini hadi leo wanatuambia wahusika hawafahamiki!!

Ndio hao Wataalamu wenyewe?!

Kuna matukio mangapi ya uhalifu mkubwa yaliyopata kutokea over the past 3 years na Wahusika tunaambiwa hawafahamiki?!

Hao wataalam walikuwa wapi wakati hayo ya yakitokea?!

Na utaalamu waliotumia MKIRU wameutoa wapi ghafla namna hiyo?!
 
Mkuu umeandika mengi tu, lakini kwa kukumbusha ni kwamba operations dhidi ya maharamia huwa habari zake hazitangazwi wazi wazi kama vile maombi ya kazi. Sio kila kitu ni lazima mlipa kodi akifahamu japo ni yeye ambaye fedha ndio inawezesha mengi kufanyika.

Tundu Lissu na habari zake pia sio kigezo cha lawama kwa jeshi la polisi. Huyu ni mtu ambaye alilazwa ndani mara kadhaa kabla ya lile shambulizi. Unataka kuniambia alipokuwa ndani asingeweza kufanyiwa unyama?.

Dereva wake mpaka kesho hayupo nchini na wanasema bado anatibiwa ile hali ya wasiwasi inayotokana na lile tukio, wasiwasi unamsumbua mtu kwa miezi karibu nane!!!.

Mambo mengine sio ya kuwekwa hadharani, yanabakia katika usiri ili lengo la kuyafanikisha liweze kutimizwa.
 
Ninatamani waone nakala ya hiyo gazeti lakini sababu ni wanafiki watajifanya vipofu.
Hilo gazeti lina-prove nini?!

Btw, gazeti ambalo mara kwa mara limekuwa likishutumiwa na serikali kwamba linaandika habari za uongo kiasi cha kulifungia mara kwa mara; how come leo hii mnafanyia sherehe habari toka kwenye same newspaper?!

Ukitafakari hayo, hutachelewa kupata jibu kwamba wanafiki ndio nyinyi sasa!!
 
Hivi ni mmeanza lini kutotangaza? How come mnajigamba kwamba vita dhidi ya maharamia hazitangazwi ilihali wakati wakati wa kwenda lazima mpige kelele?

Kamanda Sirro huyo... baada ya kuukwaa u-IGP, akafunga msafara hadi Mkuranga kutoa ujumbe kwamba "TUNAKUJA!"

Kuna hii hapa tena:


Ukiangalia hiyo tarehe, Kamanda Sirro alikuwa ameshateuliwa kuwa IGP!

That said, stop hii porojo kwamba eti hawatangazi!! Kilichopo ni kuficha what exactly happened kwenye hiyo operation! Wanaficha cuz' kuna uwezekano mkubwa sana polisi wameua waliomo na wasiokuwamo na hicho ndicho kinafichwa...!!

Na kwa staili ya wale Maharamia, baada ya kuona full armed police force iliyoenda kupambana nao, it's obvious wengi walitoroka na kwenda mbali kabisa na Pwani!

Kuna kila dalili, wengine waliopotezwa ni ndugu tu wa Watuhumiwa baada ya kushindwa kutaja ndugu zao wapo wapi!!

KEEP THIS POST: I'm very certain wauaji bado wapo and all they did is just to keep their profile low! Kwa maana nyingine; mauaji hayajamalizwa bali yapo tu suspended!!
 
Pamoja sana mkuu
 
 
Mkuu mengi huendelea chini kwa chini, huwa hayatangazwi. Hakua inteligensia ambayo ipo tayari kuanika yanayofanyika kwa undani. Tatizo letu watanzania ni msisimko kuwa mkubwa kwenye kila jambo.

Hakuna tena nafasi ya mambo ya kiusalama kujulikana kwa kila mtu. Uliyoyafahamu kwa ufupi ni sehemu ndogo tu ya mengi ambayo hatutakiwi kuyafahamu, mwisho wetu ni kufanya speculations tu.
 
Wenye Akili wamekuelewa
Usalama wa nchi ninshu ngumu na usiyotakiwa kuwekwa siasa

Hongera sana ndugu
 
U nailed it bro
 
NONSENSE!!
Nonsense kama hujui kusoma hata picha huwezi kuona? Mabosi wako wanaongea halafu wewe kutoka huko mchafu koge Kazuramimba unaleta ubishi? Hovyo kabisa.
 
Nonsense kama hujui kusoma hata picha huwezi kuona? Mabosi wako wanaongea halafu wewe kutoka huko mchafu koge Kazuramimba unaleta ubishi? Hovyo kabisa.
Stress za kufanywa kimada, mpelekee mshua manake ndie kakufanya nyumba ndogo na sio mimi!!! Pole sana....
 
Kwa vile washajiwekea umwagaji damu ni halali kwao,kwa hiyo kila sababu itatafutwa ili tu kuhalalisha ule umwagaji wao wa damu,hii ni mbinu kongwe ya madikteta wote duniani.
 
Wenye Akili wamekuelewa
Usalama wa nchi ninshu ngumu na usiyotakiwa kuwekwa siasa

Hongera sana ndugu
Mpaka kura wanasaidia wanaiba, ndio wako wengi kwenye chama tawala doing politics.
Wenye Akili wamekuelewa
Usalama wa nchi ninshu ngumu na usiyotakiwa kuwekwa siasa

Hongera sana ndugu
Siasa zipi hizo mkuu, wakati mpaka wanatoa msaada wa kuiba kura kwa ccm, tena wapo ndani ya upinzani kuvuruka vyama vya upinzani.
Mnazani hizo propaganda zenu sitaisaidia nchi, sanasana mnazidi kuizoifisha, na ndio maanna kila siku ni afadhali ya jana
 
Umesomeka ulipojipambanua CHINA kama rejea yako pendwa kwa mambo haya.Nchi za magharibi ulizojaribu kugusia kwa mbali mashirika yake ya kipelelezi na kijasusi yanapambana na maadui walio tishio kwa nchi zao dhidi ya ustaarabu wao na sio wakosoaji wa serikali zao.Jipe muda kufuatilia kama wanasiasa na watu wengine maarufu wakosoaji wakuu wa serikali hizo wanapotea au kudhuriwa halafu uje na ushaidi hapa sio hizi porojo zako za kuhalalisha maovu.
 
Best comment
 
Jambo lamsingi nikujua Vita dhidi ya Watawala na Watawaliwa katika kupigania Power kwa upande mmoja, na Uhuru kwa Upande mwingine havita isha. Hivyo vitisho vya Usalama wa Nchi ni moja ya Silaha ya Watawala. Aluta Continue.
 

Hiyo Kazi ni Sehemu ya Majukumu yao na ni Wajibu wao kuwajibika sawasawa kabisa na Kazi waliyo ichagua kama vile kwa Madaktari/Walimu/ na kada nyingine ,wanapo kosea na kwenda kinyume na Kazi yao ni lazima tuwahoji haswa na kama tunge kuwa na Mfumo mzuri na Kitanzi wange kula kama wakipatikana na Hatia ya Mauaji.

Mnao waua ni Binadamu wenye Hisia /wenye kuumia/ ,Majeshi yanalipwa kwa Kodi zetu sisi Wananchi.Usiwape Nafasi ya Uungu wakati kama tuki waamulia tuna malizana nao tu Mtaani tunapo Ishi nao.Hata kama una nufaika na Mfumo jaribu kuwaza kwa kukaa katikati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…