Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
You don't believe that, do you?!
If you do, unaweza kutengeneza theory ya kwanini inawezekana awe amekimbia nchi au awe ametekwa na magaidi?!
Btw, huyo IGP alikuwa anaitaka taarifa ipi asiyoifahamu?! Ben Saanane wanahitaji watu wawape taarifa; what about Tundu aliyenusurika kuuawa ndani ya government compound inayolindwa na serikali wenyewe?!
Hapa napo wanahitaji mtu awapelekee taarifa wakati security system is within their control?!
Tell you what; nyie endeleeni tu kutetea udhalimu unaofanyika kwa sababu tu waathirika wa huo udhalimu sio nyinyi! But trust me, popote penye udhalimu; no one is safe!
Leo mtu anaweza kuwa kwenye system na akadhani yanayotokea hayawezi kumkuta lakini uzoefu unaonesha kwamba; udhalimu una silika ya kisasi!
Kama si kisasi hapa hapa duniani kama ilivyotokea kwa akina Sadam Hussein basi itakuwa kisasi cha jahanam kwa wale wanaoamini!
mtu adui anaweza kuwa hata ni
ndugu yangu mimi au ndugu yako
wewe wa karibu lakini mimi na wewe
tusiwajue ila wataalam wa mambo ya
usalama wa nchi husika wakawajua
mpaka njama zao.