Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Mimi nadhani watanzania hatufai kuiga sera za akina Idd Amin, Papa Doc wa Haiti, Hitler na watawala madhalimu wa aina hiyo katika historia ya dunia kama njia bora ya kupambana na wapinzani. Viongozi wetu ni wacha mungu na wanafata katiba na sheria za nchi. Mungu Ibariki Tanzania.
 
Unajiongopea sana, kwamba watu wauliwe eti nchi iendelee? Uongo mkubwa sana, F. Kennedy alipigwa risasi hadharani ilikuwaje? Ina maana hao CIA hawakujua au? Acheni kuhalalisha madharimu juu ya watu wasio na hatia kisa kukukua kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah! Pole pole ndugu. Umeandika kwa hisia Kali sana
 
Ndugu yangu alikuwa ame panic sana
Unafahamu maana ya ku-panic?! Au ni neno ulilolifahamu juzi juzi kutoka kwenye dictionary na kwahiyo hufahamu hata matumizi yake?!

Jibu nilichohoji, lakini usijibu ili mradi umejibu bali ujibu kwa weledi !
 
Njaa ni hatari sana
 
Wengine mkikesha kuangalia filamu na tathimlia za kivita na kijasusi kutoka Hollywood, mnadhani tayari ndo mmeshakuwa wataalamu na wachambuzi wa masuala ya kijeshi na kijasusi!
This isn't fair at all. Hizi ni kejeli sasa mkuu. Ina maana mimi siwezi kuwa na uhuru wa kuelezea na kufafanua mawazo yangu?
 
Huwa unaandika made nzuri ila kwa leo umeandika upumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly, ingawa kuna wakati watu hujisahau na kumwaga issues kwa wanasiasa either kwa kujua au kutokujua.
Sijajua ni tatizo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…