Wabunge walifanyiwa Presentation wakasema safi. Rais Samia sasa kaingia line

Infwact kwenye hiyo contribution ya "Oman" ndio shares zetu zitapitia hapo nyinyi mtaona ni Mu "Oman"
 
Awamu ya Saba ijiandae kufutilia mbali huu mradi.
 
Hili la Bagamoyo halitatuweka salama wote. Uhitaji wa bandari na miradi upo! Tatizo hatufahamu lengo la miradi kama hiyo. Miradi imegeuka kuwa ni mali ya wanasiasa na siyo wananchi wa nchi hii.

Anayejua uchafu na usafi wa mradi huu ni Kikwete, Magufuli (RIP), Samia na marafiki zao. Lakini hasa ni kikwete na kundi lake la waliolipwa fidia za uongo. Kuna clip ya video ilizunguka wakati ule ikionesha spika wetu akiwa china, anapigiwa wimbo wa TZ naye anafurahia na kucheza. Naamini ilikuwa ni rushwa ya akili, tena kwa watoto wadogo au mtu mzima mwenye akili ya kitoto! Baadaye anasema presentation bhla! bhla!
 
Asante sana umenisaidia
 
Wanasiasa wa Afrika ni balaa, waogope kama ukoma kaa nao mbali.Mojawapo ya vita vyao ni watu wasisome na kuelimika fuatilia vizuri utaona hili
 
Asante sana umenisaidia
Nimeongezea faida moja baada ya kuona msg ya kampeni inayozunguka whatsapp.
Yaonekana ngazi ya kwenda Mbinguni itakuwa ndani ya bandari ya Bagamoyo. Viongozi wa dini wawaoneshe waumini wao.
 
Kipindi Magu anaijenga chato mlimpigia makofi na kushangilia juu.

Now mambo yanageuka mnalialia.

Acheni utoto na upuuzi nyie MATAGA.
Chato haikuwa big deal, Kama Msoga isivyokuwa big deal au Butiama au Lupaso. Au hata ile ofisi ya Spika kule Urambo na uanzishaji wa mkoa wa Katavi.
Umeona hiyo bajeti ya Bagamoyo na impact kwa Taifa? au huwezi hata kuona mbele?
 
Chato haikuwa big deal, Kama Msoga isivyokuwa big deal au Butiama au Lupaso. Au hata ile ofisi ya Spika kule Urambo na mkoa wa Katavi.
Umeona hiyo bajeti ya Bagamoyo na impact kwa Taifa? au huwezi hata kuona mbele?
Hakuna ubaya wowote wa Bandari ya Bagamoyo zaidi ya hofu tu ya kwamba Magufuli anakwenda kusahaulika. Kama alivyosema Speaker jamaa hakuwa anashaurika
 
Hakuna ubaya wowote wa Bandari ya Bagamoyo zaidi ya hofu tu ya kwamba Magufuli anakwenda kusahaulika. Kama alivyosema Speaker jamaa hakuwa anashaurika
Acha mashambulizi ya vijiweni. Uzuri wa bandari umeuona wapi? hebu tuandikie hapa. Naomba uache hadithi za akina Zitto maana wao uhusiano na Oman inawapa sifa kwamba tuliwahi kuwa watumwa. Leo hii spika huyu ni mtu wa kufanyia reference!
 
Hii bandari ya Bagamoyo mbona kama kuna sauti kubwa inasema hatuitaki? Nafikiri tusiandikie mate wakati wino upo. Tupewe mkataba tuone yaliyomo. Mkumbuke Tanzania ina watu karibu mil 60. Deal za watu wachache zisituuze watanzania wote.
Naogopa sana kama kipindi cha Mama itatengenezwa IPTL nyingine. Ile moja imeshaleta matatizo yakutosha. Ikitengenezwa nyingine watu wategemee nini?
 
Sikuwa nakubaliana na mwendazake kwa Mambo yake .

Ila kwa hili la bandari ya bagamoyo I smell fishy !!

Kuna watu wanaipush hii agenda sababu Wana ulaji nao .

Msoga dynasty Nina mashaka nao.

Hio bandari inaweza kuja kuua bandari zetu. Na sisi tusifaidike nayo hata chembe zaidi kupewa asilimia 5% kwa miaka 99 sio upuuzi huo
 
Rushwa ya akili[emoji1][emoji1][emoji1]

Professor Assad killed it

With "acquired Stupidity"[emoji1787][emoji1787][emoji1]
 
Sure kabisa mkataba uwe wazi tuusome na kuulewa

Hao akina Samia na kikwete Leo wapo kesho hawapo

Tutabaki sisi vijana na vizazi will pay the price.

Tuone huo mkataba kwanza tuuchambua Kisha tukubaliane
 
Rushwa ya akili[emoji1][emoji1][emoji1]

Professor Assad killed it

With "acquired Stupidity"[emoji1787][emoji1787][emoji1]
Kweli! KUna mijitu huko CCM na serikalini inahongwa hata wana dada inaachia taifa liangamie tu! Eti rais anatembelea sehemu, ka binti kanamuimbia wimbo wa taifa na yeye unaona anakenua meno na kuona amesifiwa.
 
Kwahiyo kwa kuwa JPM aliukataa basi wengine wote wayafuate mawazo yake? Nalog off
Mimi binafsi sijawahi kuuona huo mkataba. Haina maana JPM akiukataa ndio final. Ila as a precaution, lazima tujue nini kilichomo. Kuukata ni suala moja...na kilichomo ni kitu kingine kabisa.
We should not try sale our souls to the devils. Hawana huruma. Watatutesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…