Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Uzoefu unaonyesha wazi hakuna mwenye hati miliki ya Tanzania. Kama mkataba hauko na maslahi na nchi, tunaomba Mwenyezi Mungu afagilie mbali.Sure kabisa mkataba uwe wazi tuusome na kuulewa
Hao akina Samia na kikwete Leo wapo kesho hawapo
Tutabaki sisi vijana na vizazi will pay the price.
Tuone huo mkataba kwanza tuuchambua Kisha tukubaliane
Tumechoka na kashfa za aina ya IPTL...