Wabunge walifanyiwa Presentation wakasema safi. Rais Samia sasa kaingia line

Sure kabisa mkataba uwe wazi tuusome na kuulewa

Hao akina Samia na kikwete Leo wapo kesho hawapo

Tutabaki sisi vijana na vizazi will pay the price.

Tuone huo mkataba kwanza tuuchambua Kisha tukubaliane
Uzoefu unaonyesha wazi hakuna mwenye hati miliki ya Tanzania. Kama mkataba hauko na maslahi na nchi, tunaomba Mwenyezi Mungu afagilie mbali.
Tumechoka na kashfa za aina ya IPTL...
 
Ukweli ni kwamba hakuna mkataba. Kilichokuwa kinafanyika ni mazungumzo, ili yakikamilika ndo kuwe na mkataba. Wachina wakagomea vipengele fulani. Sasa naona enzi za upigaji zimerudi na wapiga debe. wao sasa wanavumisha tu mradi wa Bagamoyo na hakuna anayezungumzia mradi uje kwa makubaliano yapi.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…