Pre GE2025 Wabunge waliojiongezea mshahara hawajamchangia Rais Samia fomu. Walimu wanao lipwa pesa ya pipi wanamchangia fomu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Niliwahi kusikia mtu mmoja anaimba ninamnukuu " WAJINGA NDIO WALIWAO....."
 
Mimi mwalimu niko huku namanyele kumbe nimemchangia Rais kuchukua fomu.... Nilikua sujui km nimemchangia hela rais! Km nimemchangia rais bila mm kujua basi haya ni maajabu ya dunia...
Umewakilishwa mkuu
 
Hili taifa linaangamia kwa ujinga, na ina hitajika uwe na akili ya ukichaaa kuamini kwamba Walimu wanao ishi life gumu sana, mishahara haitoshi,...
Sasa si ndio mda wa Machadema ku take advantage au? Mnadani mkitukana walimu ndio mta wa win?

Nyie ni wajinga sana,hata Mbowe juzi alikuwa anatukana Mapolisi 😁😁

Zero strategy na Dalili ya kukata tamaa
 
Mnawalaumu waalimu kama vile na nyie hamna akili ndio maana hata nyie wenye kujifanya mnaakili mnaishia kwenye keyboard. Zile ni drama either za waalimu walio kwenye nafasi zenye riziki au sio waalimu kabisa.
 
Hili taifa linaangamia kwa ujinga, na ina hitajika uwe na akili ya ukichaaa kuamini kwamba Walimu wanao ishi life gumu sana, mishahara haitoshi, hawana posho...
Hakuna waalimu ni wajinga watupu.
 
Madam zingine huwa mnaanzisha ili mradi tu muwe mmeanzisha


Hao waliomchangia sio wlaimu bali ni makada wa CCM

Wao wamepewa zaidi ya hizo walizotoa,


Hoja ya msingi ni kuwa wana wahujumu wenzao ila kusema wao wamepoteza sio kweli



Halafu hukumbuki PM Majaliwa alichqngisha somewhere akapata milioni 100+


Hilo jambo limekaa kisiasa zaidi
 
Hakuna Walimu waliochangia Fomu. Zile ni maigizo tu pesa za serikali
Watu wanashindwa hata kujiongeza, Hiyo ni michezo ya kisiasa tu


Sawa sawa na kulazimisha wanafunzi wahudhurie mikutano ili ionekane Mh anakubalika
 
Mnaoaminigi hizi habari akili zenu huwa hazipo sawa, wanasiasa ni watu wa kuwaamini???

Unakumbuka wale wamasai wa mchongo ngorongoro??
Wauza madafu ikulu?
Kinachofanya uamini waliochanga ni walimu ni kipi hasa?
Walimu tatizo wana nyota ya kunguni


Kila kitu kibaya wanashupaliwa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…