Yaani haya yote bila mwendazake tusingefika huku. Bahati mbaya hata Mama naye ana mwelekeo huo huoWabunge bila aibu wanasifia wananchi kulipishwa kodi lukuki huku wakijua kwamba wao kama kupe wanaishi na kuneemeka kwa kodi zetu na jasho letu wananchi.
Aisee...Ni kweli na ndio maana mambo ya makodi kodi kwao hawaoni madhara
Mbona watumishi wa umma wanakatwa kodi kwenye mishahara yao inayotokana na kodi.Mshahara wa wabunge ni hela ya kodi, sasa kwa nini walipe kodi? Ni sawa na kumpa hela mwanao na halafu unamwambia akugawie hela ulizompa. Kama unahitaji hela mpe kidogo, nyingine ubaki nazo.
Kodi wanalipa ila ni kidogo sana kutoka kwenye mishahara yao..ila hela nyingi imejazwa kwenye posho na marupurupu ambayo kwa mujibu wa sheria hayakatwi kodi.Una uhakika hawalipi?
Sasa si kwa mujibu wa sheria. Mi nilidhani wanafanya fraudKodi wanalipa ila ni kidogo sana kutoka kwenye mishahara yao..ila hela nyingi imejazwa kwenye posho na marupurupu ambayo kwa mujibu wa sheria hayakatwi kodi.
#MaendeleoHayanaChama
Mbona watumishi wa umma wanakatwa kodi kwenye mishahara yao inayotokana na kodi.
Wewe mzenji naona umeanza kuchanganyikiwa.
#MaendeleoHayanaChama
Naunga hoja.Wabunge walipe kodi. Katika nchi nyingi ulipaji wa kodi ni majawapo katika sifa kuu kwa wagombeaji wa ubunge kuwa nayo ili wakidhi kuchaguliwa.
Ni wazi kuwa kwa Wabunge wetu hawa kwa kutolipa kutolipa kodi wanakosa uhalali wa kuikosoa serikali pamoja na jukumu la kuhimiza ulipaji wa kodi.
Sasa hivi tunawaona wabunge wanavyoisifia Serikali kwa kuwatoza kodi kibao wananchi wanaowawakilisha kama chanzo kikuu cha mapato.
Swali linalonisumbua kama mwananchi ni sababu zipi zilipelekea hawa wawakilishi wetu wenye kipato na marupurupu maradufu kutolipa kodi.
Kila mbunge anayesimama bungeni cha kwanza kinachotoka kinywani kwake ni shukhrani kwa serikali na sifa pekee kwa kingozi Mkuu wa serikali.
Je bunge letu ni rubber stamp ya serikali na Rais wa nchi? Je kutolipa kodi ni mojawapo katika utekelezaji wa state sponsored corruption?
Hata wakitumia lugha gani katika utetezi ukweli utabaki pale pale; kwa kutolipa kodi wabunge wetu wanakula rushwa inayotolewa na serikali.
Kwenye kikokotoo tumepigwa na kitu kizito wananchi wenzangu.Naona mnaona kodi tu kumbe maeneo mengi kodi inapotea.
Mimi ninachojua kuwa wabunge hawapo hata kwenye mifuko ya hifadhi ya Jamii
Hii ni changamoto kubwa ndio maana hawawezi kukiongelea Kikokotoo
Hawa ilitakiwa wakishaingia kwenye ajira wawe kama waajiriwa hata mishahara yao jipange na Bodi ya mishahara
Hizi Pension zao hazina formula wala HAKUNA mtu au mkampuni inayoweza kulipa hizo pension zao wanazolipwa
Haya mambo Mwigulu alitakiwa aiweke kama vyanzo vipya kabisa vya mapato nchini sio mitozo tu kuongezeka kila uchao wakati wengine ni free-laider ety kwasababu ni wanasiasa
We mpumbavu mtumishi gani wa serikali asiyelipwa hela ya kodi?Mshahara wa wabunge ni hela ya kodi, sasa kwa nini walipe kodi? Ni sawa na kumpa hela mwanao na halafu unamwambia akugawie hela ulizompa. Kama unahitaji hela mpe kidogo, nyingine ubaki nazo.
Ndo KATIBA mpya inaandikwa hivyo, Marekani tunaowaita mabeberu mbona Rais analipa Kodi?Wabunge walipe kodi. Katika nchi nyingi ulipaji wa kodi ni majawapo katika sifa kuu kwa wagombeaji wa ubunge kuwa nayo ili wakidhi kuchaguliwa.
Ni wazi kuwa kwa Wabunge wetu hawa kwa kutolipa kutolipa kodi wanakosa uhalali wa kuikosoa serikali pamoja na jukumu la kuhimiza ulipaji wa kodi.
Sasa hivi tunawaona wabunge wanavyoisifia Serikali kwa kuwatoza kodi kibao wananchi wanaowawakilisha kama chanzo kikuu cha mapato.
Swali linalonisumbua kama mwananchi ni sababu zipi zilipelekea hawa wawakilishi wetu wenye kipato na marupurupu maradufu kutolipa kodi.
Kila mbunge anayesimama bungeni cha kwanza kinachotoka kinywani kwake ni shukhrani kwa serikali na sifa pekee kwa kingozi Mkuu wa serikali.
Je bunge letu ni rubber stamp ya serikali na Rais wa nchi? Je kutolipa kodi ni mojawapo katika utekelezaji wa state sponsored corruption?
Hata wakitumia lugha gani katika utetezi ukweli utabaki pale pale; kwa kutolipa kodi wabunge wetu wanakula rushwa inayotolewa na serikali.
Yule marehemu wa Chato ndio alitaka bunge hili tulilo nalo, hii ndio legacy yake kwa wasiojuwa maana ya legacy.Kwa maana nyingine ni kwamba bungeni wamejaa wawakilishi wa serikali ya CCM na kwa hila serikali hiyo hiyo ndiyo ilihakikisha wanachaguliwa mwaka 2010.
Bungeni kwa sasa hatuna hoja mbadala wala kauli mbadala na kwa kauli zaoo wenyewe bungeni kwa sasa wanaitetea serikali kuliko hata wakati wa chama kimoja.
Bunge la sasa halina tofauti na kikao cha mkutano mkuu wa CCM na hili lilipangwa kwa makusudi liwe hivyo. Vikao vya bunge havina tofauti na timu ya kampeni.
Wabunge bila aibu wanasifia wananchi kulipishwa kodi lukuki huku wakijua kwamba wao kama kupe wanaishi na kuneemeka kwa kodi zetu na jasho letu wananchi.
Kila wanachomiliki hao wabunge kimetokana na kodi zetu na imefikia mpaka wanamsifia waziri wa fedha kwa kuwa mbunifu katika kutukamua hadi tunatoka damu.
Kweli Tanzania itaendelea kujengwa na wenye moyo huku ikitafunwa na wenye meno. Kwa ubinafsi wa Wabunge wetu unaotisha wanadiriki hadi kutunga sheria zisizowabana wao.
Esta Bulaya yupo live bungeni muda huu anatetea mawigi ya nje yapunguziwe kodi.Kila mbunge anayesimama kuchangia bajeti anaanza kwa kumshukuru na kumpongeza rais[emoji53][emoji28][emoji316]
Hayo marupurupu na posho zilipangwa na nani kama siyo wao wenyewe?Ndiyo mambo ya kula kwa urefu Wa kamba?Kodi wanalipa ila ni kidogo sana kutoka kwenye mishahara yao..ila hela nyingi imejazwa kwenye posho na marupurupu ambayo kwa mujibu wa sheria hayakatwi kodi.
#MaendeleoHayanaChama