Wabunge walipe kodi, wabunge kutolipa kodi ni rushwa inayotolewa na Serikali

Wabunge walipe kodi, wabunge kutolipa kodi ni rushwa inayotolewa na Serikali

Mbona TRA wakienda kwenye mashirika ya Binafsi (private sector) wanataka malipo yote anayopewa mfanyakazi hata hayo marupurupu yawekwe mshahara ili yatozwe kodi? au kuna sheria za kodi za public sector na zingine za private sector?
Sheria ya kodi imetamka posho na marurupurupu kwa watumishi wa umma ikiwemo wabunge kutotozwa kodi. Hali ni tofauti kwa watumishi sekta binafsi,. Utofauti upo hapo.
 
Back
Top Bottom