Hata mishahara ya watumishi wa Umma imetokana na hela ya Kodi Ila bado wanakatwa kodi, kwanini isiwe wabunge ?.....acha kutetea ujingaMshahara wa wabunge ni hela ya kodi, sasa kwa nini walipe kodi? Ni sawa na kumpa hela mwanao na halafu unamwambia akugawie hela ulizompa. Kama unahitaji hela mpe kidogo, nyingine ubaki nazo.
Mshahara unaodaiwa wanapata wengi wa Wabunge hawa wala rushwa ni chini ya Tsh. 3,000,000/= kwa mwezi lakini jumla hela wanazosukumiziwa mifukoni kila mwezi ikikaribia Tsh. 20,000,000/= kwa mwezi kutokana na posho na malipo mengine mengi tu.Hii akili sijui wanaitoa wapi,ni ukosa akili kujifanya unaongea kwa uchungu kuhusu bajeti wakati wewe hulipi kodi
Ulipaji kodi wao kwa kweli unatia wasiwasi...Hili mbona tulishalitolea ufafanuzi kuwa tayari wanalipa kodi?
Kwahiyo mnataka hadi posho na marupurupu yakatwe kodi, hili sasa ni jipya.Ulipaji kodi wao ni changa la macho!
Yaani mtu awekewe mshahara LAKI NANE halafu marupu rupu MILIONI SABA ambayo hayakatwi kodi???
Posho sio mshahara, sheria ya kodi ipo wazi.Posho zao zinakatwa kodi?
Kwani haiwezi kubadilishwa? mbona mshahara wa Rais haukatwi kodi?Posho sio mshahara, sheria ya kodi ipo wazi.
Basi ianzie kubadili sheria.Kwani haiwezi kubadilishwa? mbona mshahara wa Rais haukatwi kodi?
CCM wanawaza kula pesa za umma na sivinginevyoBasi ianzie kubadili sheria.
Kulipia ml 3 Kodi Ili mil 17 ipite pembeni Si Kwa bahati mbaya.Mshahara unaodaiwa wanapata wengi wa Wabunge hawa wala rushwa ni chini ya Tsh. 3,000,000/= kwa mwezi lakini jumla hela wanazosukumiziwa mifukoni kila mwezi ikikaribia Tsh. 20,000,000/= kwa mwezi kutokana na posho na malipo mengine mengi tu.
Tunapoambiwa wanalipa kodi ni makato kwenye mshahara wa hizo milioni tatu lakini katika malipo ya milioni ishirini wanazojaziwa mifukoni kila mwezi hawalipi hata senti tano. Cha ajabu Mama ntilie mwenye kipato kisichofika hata laki moja analipishwa kodi.
Wananchi wapigwa butwaa wakimshangaa Waziri wa fedha kwa mbwembwe kuwahimiza hadi vijana wa miaka 18 kulipa kodi na bunge zima kulipuka kwa shangwe, vigelegele, ugongaji wa meza na ukataji wa mauno juu ya meza wakimpongeza Waziri kwa ubunifu.
Tumelogwa...
ninavyofaham ndio muongozo wa TRA na huwa wanafuatilia sana kwa mshirika binafsi; Ila inawezekana kwenye serikali TRA ina sheria tofauti.Kwahiyo mnataka hadi posho na marupurupu yakatwe kodi, hili sasa ni jipya.
Siku Watanzania watakapozinduka hawataamini watakayoyaona kwa macho yao na kuyasikia kwa masikio yao.CCM wanawaza kula pesa za umma na sivinginevyo
Mbona TRA wakienda kwenye mashirika ya Binafsi (private sector) wanataka malipo yote anayopewa mfanyakazi hata hayo marupurupu yawekwe mshahara ili yatozwe kodi? au kuna sheria za kodi za public sector na zingine za private sector?Kwahiyo mnataka hadi posho na marupurupu yakatwe kodi, hili sasa ni jipya.
Kazi sana!! Wanacholipwa wafanyakazi wa serikali ni hela zinadondoka toka mbinguni!!Mshahara wa wabunge ni hela ya kodi, sasa kwa nini walipe kodi? Ni sawa na kumpa hela mwanao na halafu unamwambia akugawie hela ulizompa. Kama unahitaji hela mpe kidogo, nyingine ubaki nazo.
Na kumbuka CCM wanadai wana wananchama wengi. Kwa sisi watu wa hesabu idadi ya wanachama wa CCM is directly proportional to idadi ya wajinga, QED!Tanzania wapumbavu ni wengi sana!!