Wabunge Wanne ajali ya basi waruhusiwa, wengine wakiendelea na Matibabu Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH)

Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu.
View attachment 3171993
Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo la Mbande wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakienda Mombasa, Kenya kwenye mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki.
View attachment 3171991
Akizungumza na Nipashe jana, Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura wa BMH, Dk. Winnie Msangi, alisema wabunge hao waliruhusiwa baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari bingwa hospitalini hapo na afya zao kuonekana kuimarika.
View attachment 3171992
Dk. Msangi alisema majeruhi wengine waliosalia wanaendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa madaktari, ili kuhakikisha afya zao zinaimarika na kuendelea na shughuli zao za kila siku.

Pia, Soma: Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23
Walitakiwa wafe WOTE KWA KUPITISHA MISWADA BATALI NA KULA MALI ZA UMMA OVYO NYOKO
 
Hakuna ajali YOYOTE iliyotokea sema ni ufujaji wa pesa tu amini nakwambia nilikuwa eneo la tukio nikama bike imekeakosea njia likani sasa
 
M
Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu.
View attachment 3171993
Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo la Mbande wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakienda Mombasa, Kenya kwenye mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki.
View attachment 3171991
Akizungumza na Nipashe jana, Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura wa BMH, Dk. Winnie Msangi, alisema wabunge hao waliruhusiwa baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari bingwa hospitalini hapo na afya zao kuonekana kuimarika.
View attachment 3171992
Dk. Msangi alisema majeruhi wengine waliosalia wanaendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa madaktari, ili kuhakikisha afya zao zinaimarika na kuendelea na shughuli zao za kila siku.

Pia, Soma: Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23
Nlijua tunazika hawa machawa
 
Back
Top Bottom