Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

Mkuu kwa hiyo mlitudanganya wakati ule mkituaminisha kwa nguvu zote kuwa Lowasa ni fisadi? Mwombeni msamaha basi hadharani kuwa tuliyosema sio kweli. Tuanze upya!!

Acha ufala wewe mafisadi unao humo humo CCM Lowasa kaiba nini? Kwani Lowasa ndiyo alinunua kivuko kibovu ndege kujenga uwanja wa ndege chato kuuza nyumba za serikali na kula chenji ya rada chenji bunge la katiba kiwanda hewa kule Lindi
 
Kujenga Airport bila ya budget kuidhinishwa na Bunge ndo Ufisadi na ubadhilifu wenyewe huo
 
Upinzani unakufa Tanzania sababu ya kukosa hoja na cha kuwaeleza watanzania,

Hoja zao Magufuli anazimaliza zote hivyo watanzania hawaoni haja ya kuwaunga mkono upinzani kama unavyoona sasa wapinzani wanahamia chama tawala kwa maelfu.
Wanahama ama wananunuliwa na kuahidiwa vyeo? Watanzania wameshachoka na hii miaka 2 tu ya shida wanazozipata, wanafunzi Elimu ya juu zaidi ya 55% wenye kukidhi vigezo na sifa wamekosa mikopo, Huduma za jamii zimezorota kuliko wakati wowote ule katika nchi hii, ndo maana wapinzani wanawakimbiza balaa huko kwenye kampeni za madiwani kiasi cha kufanya mawaziri kutofanya kazi na kuingia kwenye kampeni
 
Kuwa mpole tunaratibu hizi harakati kwa kufuata protocols sio kukurupuka tu lipo wimbi zito la viongozi waandamizi kutoka chadema wataanza kuingia ccm kwa utaratibu maalum hatutaki shughuli ipoe ni kampa kampa kampa tena
Endelea kuota.....
 
Ataendelea kuwepo kwa sababu anakimarisha chama
 

Nakumbuka mwaka 2017 niliiweka hii thread kama tetesi. Kumbe ilikuwa ni zadi ya tetesi. Sasa nilichokipata sasahivi ni kwamba vigogo wanne wanategemea kuhama vyama vyao na kurejea kumuunga mkono JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…