Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

MKUU INATEGEMEA NA CHAMA
 
Ndio kazi aliyoomba?baada ya hapo tutapata viwanda na umeme wa uhakika?
Political death sio physical death Magufuli anawapa wananchi hamasa kwamba hakuna mantiki ya upinzani he conquer opposition by political progress and accountability sio vinginevyo.

Upinzani unampinga Magufuli kwa kujenga Airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa Hospital na upanuzi wa barabara kitu ambacho ni tofauti na zamani hoja ya upinzani ilikua ufisadi, rushwa, ubadhitifu
 
Hii ni shida.
 
wale wanaohama wakusanyane woote, tuwe na press moja, halafu tunapokezana tu, wa upande huu wanakwenda upende mwingine wanapokelewa, and viseversa, hizi mambo zinakula muda wa wavuja jasho jamani kuwajadili wanasiasa tuu.
Mkuu sio kawaida yako kuandika kwa busara hivi naona nyie kwenye hili ni wahanga mkuu!! Na nadhani unajua ni kina nani wanataka kubwaga manyanga.
 
Airport anayojenga tija yake ipi mkuu? au unafikiri kujenga tu ndio tija?
 
Nani alitudanganya kazi za vyama vya siasa ni kupambana na ufisadi na kuleta maendeleo? Hizo ni mojawapo ya kazi za serikali. Chama tawala kuishauri serikali yake, vyama vya upinzani kushauri na kuikosoa serikali na chama tawala. Hakuna ukomo wa maendeleo
 
Unaamini wananchi watahamasika mnapoua upinzani badala ya kutatua kero zao?
Je hoja ya upinzani kutokuwa ufisadi tena inazuia seriali ya ccm kuwashtaki hao mafisadi?
 
Kama izi habari ni za ukweli.sitashangaa hasa upande wa ccm ,mipango ya magufuli kukaa madarakan mda mrefu. anajaribu kutumia kila mbinu kuonesha ulimwengu kwamba anakubalika.pesa zEtu walipa kodi wa nchi awamu hii zitatumika vibaya mno na uyu rais wa visasi.Ili tuu kutimiza azma yake chafu.
 
Awamu hii ikimaliza muda wake (kama itakubali kuondoka kwa mujibu wa Katiba) itabidi nchi ianze kurudishwa katika misingi na taratibu zake!
 
Unaamini wananchi watahamasika mnapoua upinzani badala ya kutatua kero zao?
Je hoja ya upinzani kutokuwa ufisadi tena inazuia seriali ya ccm kuwashtaki hao mafisadi?
Upinzani unakufa Tanzania sababu ya kukosa hoja na cha kuwaeleza watanzania,

Hoja zao Magufuli anazimaliza zote hivyo watanzania hawaoni haja ya kuwaunga mkono upinzani kama unavyoona sasa wapinzani wanahamia chama tawala kwa maelfu.
 
Ni kuchezea pesa za walipa kodi bila sababu. Ni bora majimbo hayo yabaki wazi mpaka uchaguzi mwingine kuliko kutspanya pesa za wanyonge. Michezo ya wanasiasa ndio mauti ya masikini na wanyonge
 
Upinzani unakufa Tanzania sababu ya kukosa hoja na cha kuwaeleza watanzania,

Hoja zao Magufuli anazimaliza zote hivyo watanzania hawaoni haja ya kuwaunga mkono upinzani kama unavyoona sasa wapinzani wanahamia chama tawala kwa maelfu.
Kwahiyo unamaanisha na matatizo yote ya watanzania yamekwisha?umeme,maji,elimu huduma za afya n.k?
 
Upinzani unakufa Tanzania sababu ya kukosa hoja na cha kuwaeleza watanzania,

Hoja zao Magufuli anazimaliza zote hivyo watanzania hawaoni haja ya kuwaunga mkono upinzani kama unavyoona sasa wapinzani wanahamia chama tawala kwa maelfu.
Je hoja ya upinzani kutokuwa ufisadi tena inazuia seriali ya ccm kuwashtaki hao mafisadi?
 
REDEEMER. Kwa hiyo wewe hapo unaona matatizo yote yameisha Tanzania. Mbona nakuona huna hata bima ya afya tu? Mbona naona msururu/ foleni ya watanzania kwenye meli ya Kichina wakihitaji matibabu? Sasa alichokimaliza huyo mzee wako ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…