Tetesi: Wabunge washauri Luhaga Mpina afukuzwe CCM

Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya watanzania.

Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Makame Mbarawa.

Wabunge hao wanatajwa kuendesha kampeni za chini kwa chini na kumshauri Mama amfukuze Mpina CCM. Tusubiri tuone CCM ni dude kubwa.
Kama ni kweli, hii ni zero Brain ya kiprofesor. Yaani kuwa na mawazo tofauti ndio mtu afukuzwe? Haiwezekani ndani ya familia moja wote mkawa na mawazo yanayofanana... ikiwa hivyo, hii itakuwa ni ya kikondoo zaidi.

Muacheni Mpina awachangamshe... ni hivyo tu.
 
Nitajie kiongozi ambaye siyo mwizi hapo lumumba
hakuna hata mmoja wote ni wanafki na wasaka maokoto kwa maslay yao na kushindana kujenga maekalu na kusomesha watoto wao kwenye shule za hela nyingi, alafu wanawapumbaza watoto wa wanyonge elimu bure!
 
Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya watanzania.

Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Makame Mbarawa.

Wabunge hao wanatajwa kuendesha kampeni za chini kwa chini na kumshauri Mama amfukuze Mpina CCM. Tusubiri tuone CCM ni dude kubwa.
Ukiangalia list ya hao wabunge, ni wale wanufaika wa DP WORLD.
Tatizo la Ccm hawa taki msema kweli.
Mwigulu, Mbarawa, wana tajwa sana kwenye rushwa na kuji limbikizia mali.
Mama kalogwa hasikii wala haoni juu ya hawa wezi.
Ninge kuwa mimi Mh Rais ningebmteua Mpina kwenye nafasi za mmoja wao.
Kwa kimya cha Mama tuna fikiria kusema na yeye ni mnufaika wa yanayo endelea.
Msukuma rudisha V8 uliyo hongwa na Waarabu.
Makamba ndie huyo ali wekwa kwenye Nishati shida ya umems tuna iona hadi leo. Bado Rais ana mbadilishia wizara. Tusemeje kuhusu huyu Rais?? Hana huruma na Watanzania kabisa.
 
Mpina Kuna ufisadi mwigulu amefanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Namkubali San luaga mpina bonge la mbuge anaweza akakukera tu ilimradi ukereke na uumiee kisiasa
 
Ukiona watu hawataki kuambiwa ukweli tambua kuwa huo ni uzao wa nyoka!
Ndio maana hadi leo shetani hapendi challenges
 
Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya watanzania.

Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Makame Mbarawa.

Wabunge hao wanatajwa kuendesha kampeni za chini kwa chini na kumshauri Mama amfukuze Mpina CCM. Tusubiri tuone CCM ni dude kubwa.
Hao wabunge hawafai kuwepo CCM. Kama ni kweli waliopeleka malalamiko ndiyo wafukuzwe.
 
Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya watanzania.

Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Makame Mbarawa.

Wabunge hao wanatajwa kuendesha kampeni za chini kwa chini na kumshauri Mama amfukuze Mpina CCM. Tusubiri tuone CCM ni dude kubwa.
Huo ndiyo ugonjwa sugu walionao wana ccm.

Ukitaka uonekane mbaya ndani ya ccm basi wewe Sema ukweli.
 
Back
Top Bottom