S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
Kama ni kweli, hii ni zero Brain ya kiprofesor. Yaani kuwa na mawazo tofauti ndio mtu afukuzwe? Haiwezekani ndani ya familia moja wote mkawa na mawazo yanayofanana... ikiwa hivyo, hii itakuwa ni ya kikondoo zaidi.Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya watanzania.
Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Makame Mbarawa.
Wabunge hao wanatajwa kuendesha kampeni za chini kwa chini na kumshauri Mama amfukuze Mpina CCM. Tusubiri tuone CCM ni dude kubwa.
Muacheni Mpina awachangamshe... ni hivyo tu.