pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Ndugai anaweza kuridhia bila 'kujitambua au kuelewa alichoridhia' 🤣Hata hivyo mbunge Hussein Amar amesema hawezi kuomba radhi kwa sababu alichosema alikuwa sahihi kwakuwa mavazi aliyovaa mbunge mwenzake hayakuwa na staha ndiyo maana Spika wa Bunge Job Ndugai aliridhia hoja aliyoitoa yeye (Amar).
Uzalilishaji ni kosa na sheria zinazosimamia kosa hili zifuatwe kumbuka hakuna aliyejuu ya sheriaSasa nani awajibike ?!!!
Awajibike kwa nani ?!!
Mh.Spika atolewe uspika kwa jambo hilo ?!!
Mbunge wa Nyang'wale afukuzwe bungeni kwa jambo hilo ?!!
Hayo yote usemayo yana sheria nyuma yake kuyafanikisha ?!!
Ni kweli hakuna aliye juu ya sheria....Uzalilishaji ni kosa na sheria zinazosimamia kosa hili zifuatwe kumbuka hakuna aliyejuu ya sheria
Rudia post vizuri unaenda nje ya nilichoandika awali, tunafuata sheria,taratibu na mingozo, Toa makosa ktk nguo alivaa au unamhukumu mtu kutokana na umbo lake?Ni kweli hakuna aliye juu ya sheria....
Hoja yangu ni kuwa ni sheria ipi iliyovunjwa ?!!
Una uhakika mbunge wa Nyang'wale alikusudia Kumdhalilisha mh.Condester ?!!!
Je mh.Spika naye amemdhalilisha mh.Condester?!!
Je hakuna taratibu za uvaaji mule bungeni ?!!!
Hivi unaelewa kuwa hata ukivaa KANZU na KIBARAGHASHIA bila ya KOTI unaweza kutolewa ?!!
Je ukitolewa utakuwa umedhalilishwa ?!!!
Ama unalalamika KIHISIA tu kujustify "HAKI ZA AKINAMAMA" pasina WAJIBU ?!!!
#KaziIendelee
Sawa....Rudia post vizuri unaenda nje ya nilichoandika awali, tunafuata sheria,taratibu na mingozo, Toa makosa ktk nguo alivaa au unamhukumu mtu kutokana na umbo lake?
Unamaanisha yule mzee ni muislamu?Yule mzee ni msikiti, hivyo alitaka huyo dada avae hijabu ndio aridhike. Ila bunge futuhi nalo lina vituko vyake acha tu.
Za mwili bwasheeee!Nguvu za akili au nguvu za mwili?
Suruali ni vazi la wanaume na sio wanawake, wanawake wanalazimisha tu kuvaa suruali, kutokana na maumbile yao ndio maana wanatakiwa wavae sketi au magauni na wanaume wavae suruali au kaptula na sio siketi,ingawa wale Waskotishi na Wazulu wanavaa sketi sio kwa wakati wote,mwananmke akivaa suruali anapata shida sana anapopata call of nature. Pamoja na hayo lakini kwa mbali naliona hili swala linaingia kwenye mtizamo wa kidini, na tusipoangalia haya mambo ya dini kuingia bungeni yatatupeleka kusiko. Nimekuwa nikiwaona wabunge wanawake wengi wakivaa suruali kama aliyovaa aliyetolewa bungeni na hawajawahi kutolewa, kwa staha hili jambo lilitakiwa lifanywe kimya kimya, naunga hoja mkono kuwa huyo dada mbunge kadhalilishwa ingekuwa amevaa jeans hapo tungeelewa lakini kwa ile suruali hata mbano hatujauona au wanataka hawa wabunge vijana wavae suruali kama za Angel Merkel wa Ujerumani?Sakata la kutolewa nje kwa mbunge wa Momba, Condester Sichwale (CCM) kuhusu mavazi, limeibuka tena leo jioni katika kikao cha Bunge baada ya wabunge wanawake kutaka aombwe radhi na aliyetoa hoja.
Hata hivyo mbunge Hussein Amar amesema hawezi kuomba radhi kwa sababu alichosema alikuwa sahihi kwakuwa mavazi aliyovaa mbunge mwenzake hayakuwa na staha ndiyo maana Spika wa Bunge Job Ndugai aliridhia hoja aliyoitoa yeye (Amar).
Katika kikao cha leo jioni wabunge Jacqueline Ngonyani na Stella Manyanya waliomba mwongozo wa Spika kwa madai mbunge aliyetolewa nje alionewa.
Mapema leo Sichwale alitolewa nje kwa amri ya Spika baada ya Amar kuomba mwongozo kwa kutumia kanuni 170 kuhusu mavazi ya staha.
Ngonyani amesema kilichotokea ni kwamba mbunge huyo alionewa kwani alikuwa na vazi la staha ambalo halikuwa na shida lakini akasema huenda Spika hakuona.
"Mimi ni mjumbe wa Baraza Kuu la wanawake wa CCM, ninapoona kuna uonevu lazima niseme na hili sikiungi mkono huyu mwanamke mwenzetu ameonewa,"amesema Ngonyani.
Mbunge huyo amesisitiza kuwa uonevu wa namna hiyo haupaswi kuvumiliwa kwakuwa umemdhalilisha mbunge huyo na wapiga kura wake jimboni.
Kwa upande wake Manyanya amesema tangu asubuhi alikuwa anafuatilia kwenye mitandao na amebaini kuwa Sichwale hakuwa na vazi baya.
Hata hivyo Manyanya amesema haiwezekani wabunge vijana wavae mavazi kama wanayovaa wabunge wanawake watu wazima.
Amesema katika siku za karibuni limeibuka suala la kutoa lugha za kuwadhalilisha wabunge wanawake ndani ya ukumbi ambako wakati mwingine hutamkwa kiungo cha mwanamke halafu wengine wanafurahi.
Naibu Spika Dkt. Tulia Akson amesema atatoa mwongozo baada ya kufuatilia jambo hilo.
Hakukuwa na shida na vazi la mbunge huyo...Sakata la kutolewa nje kwa mbunge wa Momba, Condester Sichwale (CCM) kuhusu mavazi, limeibuka tena leo jioni katika kikao cha Bunge baada ya wabunge wanawake kutaka aombwe radhi na aliyetoa hoja.
Hata hivyo mbunge Hussein Amar amesema hawezi kuomba radhi kwa sababu alichosema alikuwa sahihi kwakuwa mavazi aliyovaa mbunge mwenzake hayakuwa na staha ndiyo maana Spika wa Bunge Job Ndugai aliridhia hoja aliyoitoa yeye (Amar).
Katika kikao cha leo jioni wabunge Jacqueline Ngonyani na Stella Manyanya waliomba mwongozo wa Spika kwa madai mbunge aliyetolewa nje alionewa.
Mapema leo Sichwale alitolewa nje kwa amri ya Spika baada ya Amar kuomba mwongozo kwa kutumia kanuni 170 kuhusu mavazi ya staha.
Ngonyani amesema kilichotokea ni kwamba mbunge huyo alionewa kwani alikuwa na vazi la staha ambalo halikuwa na shida lakini akasema huenda Spika hakuona.
"Mimi ni mjumbe wa Baraza Kuu la wanawake wa CCM, ninapoona kuna uonevu lazima niseme na hili sikiungi mkono huyu mwanamke mwenzetu ameonewa,"amesema Ngonyani.
Mbunge huyo amesisitiza kuwa uonevu wa namna hiyo haupaswi kuvumiliwa kwakuwa umemdhalilisha mbunge huyo na wapiga kura wake jimboni.
Kwa upande wake Manyanya amesema tangu asubuhi alikuwa anafuatilia kwenye mitandao na amebaini kuwa Sichwale hakuwa na vazi baya.
Hata hivyo Manyanya amesema haiwezekani wabunge vijana wavae mavazi kama wanayovaa wabunge wanawake watu wazima.
Amesema katika siku za karibuni limeibuka suala la kutoa lugha za kuwadhalilisha wabunge wanawake ndani ya ukumbi ambako wakati mwingine hutamkwa kiungo cha mwanamke halafu wengine wanafurahi.
Naibu Spika Dkt. Tulia Akson amesema atatoa mwongozo baada ya kufuatilia jambo hilo.
Lipo geita.na huyu mbunge ameoa mzungu.sasa sijui huko wanaishi kitamaduni?Hahahaaaa! Mzee wa Nyang'wale kaingia cha kike.
Hivi jimbo la Nyang'wale liko mkoa wa Kilimanjaro?!
Nyang'wale majina machachu hayo wewe jiongeze ni sukuma gang hukoHahahaaaa! Mzee wa Nyang'wale kaingia cha kike.
Hivi jimbo la Nyang'wale liko mkoa wa Kilimanjaro?!
Nahisi huyu mzee alimtamani akaona hiyo inaweza kuwa gear kubwa.View attachment 1805651
Hicho kitop kichwani, huyu Mbunge wa Nyang'wale amekivaa kwa kanuni ipi ya Bunge?
Yule mzee ni msikiti, hivyo alitaka huyo dada avae hijabu ndio aridhike. Ila bunge futuhi nalo lina vituko vyake acha tu.
Siyo Chato kweli?Lipo Geita