Wabunge watatu wa Viti Maalum CHADEMA watangaza kuachana na chama hicho na kujiunga CCM

Sikuwahi kuwasikia hao wabunge, vizuri CDM ipunguze mizigo isiyo na tija.
Huu ndo ujinga wa Chadema, mmekaa na mizigo hadi bunge linavunjwa! Mtabaki na mlevi wa taifa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…