Na hakuna mtu mwenye akili hata robo tu ya utimamu anaweza kuwa na mawazo ya kipuuzi Kama haya!Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia tena.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Majina yenyewe nimeyajua LeoEti nao wanajiona [emoji513] keki
Wewe mbweha kwani hunyi? na ukinya unakunya nini?Mavi yako
Chadema haifi kamwe tumieni pesa zote za viwanda kuwanunua wabunge madiwani wenye njaa chadema ipo na itaendelea kuwepoLichama limeshajifia hili.
Majina yenyewe nimeyajua Leo
Bungeni walikuwa wanafukuzia mshahara tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Chadema haifi kamwe tumieni pesa zote za viwanda kuwanunua wabunge madiwani wenye njaa chadema ipo na itaendelea kuwepo
Hao ni michepuko ya lijuakali na Msukuma kitamboMajina yenyewe nimeyajua Leo
Bungeni walikuwa wanafukuzia mshahara tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mh Sasa itakuwaje kwenye Katerero' wakati yeye antenna ,imekwanguliwa ....picha SI litakuwa Chenga!Mapimbi kweli waende huku kujiuza Mwenzao tayari Pauline Gekul keshajiuza kwa Dr Bashiru kapiga milioni sabini.
Biashara zako zinaenda vizuri kwa amani na utulivu uliopo nchini.
Serikali ya JPM inasimamia vizuri nchi.ndo maana biashara yako inafanya vizuri.
Haki ya kikatiba!Wabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM.
Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa CHADEMA kutoenda Bungeni na kukaa Karantini.
View attachment 1479660 View attachment 1479662
View attachment 1479661
Habari ni ya kawaida ila inaleta maumivu sana.Habari mpya ni ccm kwenda chadema, hii ya wapinzani kurudi lumumba sio issue
Wakati mnawachhagua hamkulijua hili? Umeona post ya Malisa kuhusu hawa wabunge na jinsi walivyochaguliwa? CHADEMA tatizo haijifunzi na kila anayewapa ushauri mnadhani ni adui.Sikuwahi kuwasikia hao wabunge, vizuri CDM ipunguze mizigo isiyo na tija.
Hapana sumuWabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM.
Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa CHADEMA kutoenda Bungeni na kukaa Karantini.
View attachment 1479660 View attachment 1479662
View attachment 1479661
Mapimbi kama ww ndo wenye mawazo hayoHakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia tena.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.