Moja ya propaganda iliyo feli Ni hii ya kusema wana nunuliwaPesa inayotumika kuidhoofisha chadema itumike kuleta maendeleo siyo kuliwa na madalali wa siasa huko CCM matokeo yake mnaanza kuwatumia wasiojulikana kuwapiga chadema.
Lingekuwa ni jumba bovu mngehangaika kuwabambikia kesi?kuwapi risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote za marudio? Acheni kutumia pesa za walipa kodi kwa matendo haramu yasiyo na tija kwa watanzaniaJumba bovu_chadema
Wenzako ni madalali wa siasa lijuakali sasa yupo kwenye kamati ya ununuzi kila kichwa anachofanikisha anapata 10% wewe endelea kupiga kelele humu wenzako wanapiga pesa hawana uchungu na kodi za wananchi wao wanajali matumbo yao tuMoja ya propaganda iliyo feli Ni hii ya kusema wana nunuliwa
Hicho kijamaa waitara huwa kina Roho mbaya sana, wacha mungu akinyooshe kidogo kijue mungu yupoHii ndio habari waitara anamarukanga kama jobView attachment 1479859
Safi sana! "Kipendacho moyo ni dawa."Wabunge watatu wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Dkt. Immaculate Sware Semesi, Anna Gidarya na Latifa Chande wametangaza leo Bungeni kuondoka katika chama hicho na kujiunga na CCM.
Dkt. Immaculate Sware Semesi na Latifa Chande ni miongoni mwa Wabunge waliotakiwa kujieleza baada ya kukiuka agizo la kukaa CHADEMA kutoenda Bungeni na kukaa Karantini.
View attachment 1479660 View attachment 1479662
View attachment 1479661
Kwa kweli majina yao ni mageni sana.Sikuwahi kuwasikia hao wabunge, vizuri CDM ipunguze mizigo isiyo na tija.
To NCCR??Huu ni mwanzo tuu au tuseme ni muendelezo, baada ya Bunge kuvunjwa hapo kesho, inafuatia the mass exodus iliyozungumzwa hapa
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
P
Rushwa ya ngono sasa wapo na lijuakali Msukuma na kibajajiJe wamehakikishiwa kuchaguliwa tena viti maalumu pale chama tawala??
ila mwenye akili timamu ni yule anaewaza kumuongezea pombe miaka ya kuongoza ili hali anajua magufuli hafai hata sifuri kwa udikteta wakeHakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Narudia tena.
Hakuna mtu mwenye akili timamu akabaki Chadema.
Nakupenda dada!Chadema kuna mambo mengi mnatakiwa mjifunze
Kwa ufupi iko hivi 90% ya Wanawake Narudia tena Wanawake wa Vyama vyote ni FURSA MASLAHI KUKOMOANA Na Kutengeneza majina mjini.
Mkiendelea kuwateua kwa sababu za kujuana kimapendo zaidi hapa ndipo mnapokwama.
Hao wameahidi Ubunge wa Viti Maalum CUF na NCCR si CCM kwani ccm ina wenyewe
Upinzani Tz bado sana
Ipo mikutano ya chini chini ndani ya Chama namna ya kujiondoa Chadema
Kuna ahadi kedekede
Vitu Maalumu ilipashwa liondolewe ni mzigo kwa Walipa Kodi
Chadema mna maswali mengi ya kuwajibu Wananchi
All in All pigeni Mwendo wale wenye kuipenda Tz na kuipenda Demokrasia
Halafu malofa wanashangilua!Mradi mkubwa uliopo CCM ya sasa ni mradi wa tokomeza chadema ni mradi uliobuniwa na wajanja wachache huko CCM ambao wametajirika sana kupitia mradi huo wa ununuzi wanachama wa chadema kuidhoofisha chadema ni mradi wa kifisadi sana pesa nyingi ya walipa kodi imepotelea hapo
Yani inshort wanasiasa woteKutoka makamanda mpaka kuwa mbuzi ππππππ
Naona tunaenda sawa sasaKuku kabisa
Hivyo viti maalum sijui wanapataje,
Kina imarika zaidi na zaidi ,tofauti na unavyofikiria.Ndiyo maana CCM inaiogopa sana CHADEMA.