Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI.

Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.

cRik1SDl.jpg
 
View attachment 3173927
Daaaaaah, nimeshangazwa na huo mgawo! Yaani hata hili, wao wamepata zaidi, yaani 2/3
 
Sawa Poleni Distinguish Members Of Parliament
 
Kwenye ile ajali mbona kama ni mlango wa bus uliparuzwa tu sasa hao walivunjika vunjikaje au walisimama ile sehemu ya makondakta?
 
Nitaenda kuwasalimu kesho naingia shift hapa moi mapokezi.
 
Watanzania kila siku wanaopata ajali Mabarabarani huko, wengine hupoteza maisha, wengine hubaki vilema, na wengine huishia kuwa masikini.
Ajali hizi nyingi ni uzembe na kelele zinapigwa Sana kuhakikisha wenye mamlaka wanaenda kwa nafasi zao.

Leo hii ajali wamepata wao, lakini wanamudu matibabu na posho zinapatikana kama kawaida.
 
Mara paap! Tutaskia wamepelekwa India.
 
Siasa siyo Uadui, hujafa hujaumbika

Acha roho ya korosho
Wewe mzee wa ajabu sana...

Wenzio huko CCM ili kulinda madaraka na maslahi yao ya kisiasa wamegeuka majambazi ya kisiasa na uchaguzi kiasi cha ubeba roho ya kuteka, kutesa na kuua kila wamwonaye kikwazo kwao na mwenyekiti wao wa chama aitwaye Bi Samia Suluhu Hassan halafu wewe unasema siasa sio uadui...?

Kinachofanywa na CCM kwa sasa wala sio siasa bali wameshindwa siasa za ushindani badala yake wamegeuka kuwa majambazi ya madaraka ya kisiasa...

Hawa laxima wapigwe vita kwa namna yoyote ikiwezekana hata kuwafagilia mbali kama Mungu alivyoufagia utawala wote wa Mfalme Farao wa Misri ya kale kwa kuwazika wote chini ya bahari ya shamu hadi leo...

CCM wote wanapaswa kuzikwa ndani ya bahari ya Hindi wasionekane kabisa maana wanaichafua nchi yetu kwa sasa...!!
 
Back
Top Bottom