Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

Hujuwi kesho yako Mungu kakuandikia nini, waweza pata ajali mguu wote ukakatika na mkono ukatoka, chunga ulimi wako, usidhihaki wengine.
Kabisa ndugu yangu. ila hawa wapo kwenye position ya kuweza kuzuia utekaji na uuaji wa watu lakini wanaangalia pembeni kwa sababu wanaofanyiwa hivyo ni upinzani au wakosoaji wa serikali. Hicho ndiyo kiini cha chuki zetu kwao
 
Hao wanao uliwa kwa siasa wewe huwajui kabisa kuwa nao walistahili kuishi!

Haya hayamfurahishi yeyote yanapo tokea hivi, lakini watu wa aina yako ndio mnao ongeza chuki ndani ya jamii kwa vimaneno neno vya kipuuzi kama hivi.
Nadhani umelewa gongo 🐼
 
Wewe siku hizi inaonyesha huna njia ya kujifichia tena ili usijulikane kuwa ni mtu asiye kuwa makini hata kidogo.

Umejiachia sana!
Hii Dunia ukiwa serious Mitego lazima ikunase na uteseke sana!

Mungu wa mbinguni hajatuumba tuteseke

Navalonge swela 😂🔥
 
Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI.

Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.

View attachment 3173927
Poleni wabunge. Wishing you quick recovery.
 
Hujuwi kesho yako Mungu kakuandikia nini, waweza pata ajali mguu wote ukakatika na mkono ukatoka, chunga ulimi wako, usidhihaki wengine.
Lkn pia mkuu akinena mema juu yao inampatia vipi kinga dhidi ya mabaya?.
 
Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI.

Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.

View attachment 3173927
Hakika Mungu muweza wa yote aliewaepusha na balaa atawafanyia wepesi wapine. Get well soon
 
Hii Dunia ukiwa serious Mitego lazima ikunase na uteseke sana!

Mungu wa mbinguni hajatuumba tuteseke

Navalonge swela 😂🔥
Kuwa "serious' maana yake nini. Kufurahia uonevu wanao fanyiwa raia wengine kwa sababu tu za kuwa na maoni tofauti na ya chama chenu, ni jambo la kufurahisha hilo?

Ukweli, John, umejificha siku nyingi sana katika hicho kinyago cha "utani utani" huku lengo likiwa halina utani wowote ndani yake.
Wewe ni mmoja kati ya watu hatari sana huko ndani ya genge lenu.

Mtu huhitaji kuwa "serious" kuhuzunishwa na matendo machafu mnayo wafanyia waTanzania siku hizi. Haya matendo yenu hayana chochote cha utani ndani yake. Kila kitu ni 'deadly serious', halafu mnageuka kuja hapa na kufanya utani juu yake, eti hamtaki kuwa "serious"!
Mungu wa mbinguni hajatuumba tuteseke

Ukweli uliopo ni wazi kabisa hali hii tuliyomo sasa hivi "inawatesa" sana.Sasa sijui unayo maana gani hapa kusema "Mungu hajawaumba mteseke"; wakati tayari mnateseka!
 
mkuu unawezaje kuwa na huruma na mtu ambaye hana huruma na wewe?
Hivi mwenzako akikupiga kofi huko bungeni, alafu ukapita ukakuta amejikwaa, huruma inaweza ikatokea wapi, wakati una maumivu na kofi ya kodi alilokipiga huko bungeni bila kukuangalia mara 2
 
Back
Top Bottom