Kweli chuki inazaa chuki....hatujui kesho yetu ila hata chembe ya huruma siisikii.
Siasa siyo Uadui, hujafa hujaumbikaKweli chuki inazaa chuki....hatujui kesho yetu ila hata chembe ya huruma siisikii.
mkuu unawezaje kuwa na huruma na mtu ambaye hana huruma na wewe?Kweli chuki inazaa chuki....hatujui kesho yetu ila hata chembe ya huruma siisikii.
Daaaaaah, nimeshangazwa na huo mgawo! Yaani hata hili, wao wamepata zaidi, yaani 2/3Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI.
Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
View attachment 3173927
Mh!Siasa siyo Uadui, hujafa hujaumbika
Acha roho ya korosho
Wepesi ili wawahi mbinguni?Mungu wa mbinguni awafanyie wepesi
Get well so
Sijui wamekukosea nini?Kweli chuki inazaa chuki....hatujui kesho yetu ila hata chembe ya huruma siisikii.
Hawa na watekaji ni part and parcelSijui wamekukosea nini?
CCM ndiyo wamefanya siasa kuwa uadui. Wameua wapinzani wengi sana na wauaji kutochukuliwa hatua za kisheria. Kwangu ni furaha kuu wanaccm wakipatwa na mabaya.Siasa siyo Uadui, hujafa hujaumbika
Acha roho ya korosho
Mara paap! Tutaskia wamepelekwa India.Watanzania kila siku wanaopata ajali Mabarabarani huko, wengine hupoteza maisha, wengine hubaki vilema, na wengine huishia kuwa masikini.
Ajali hizi nyingi ni uzembe na kelele zinapigwa Sana kuhakikisha wenye mamlaka wanaenda kwa nafasi zao.
Leo hii ajali wamepata wao, lakini wanamudu matibabu na posho zinapatikana kama kawaida.
Hujuwi kesho yako Mungu kakuandikia nini, waweza pata ajali mguu wote ukakatika na mkono ukatoka, chunga ulimi wako, usidhihaki wengine.Kweli chuki inazaa chuki....hatujui kesho yetu ila hata chembe ya huruma siisikii.
Wewe mzee wa ajabu sana...Siasa siyo Uadui, hujafa hujaumbika
Acha roho ya korosho
Mkuu viongozi wengi ni kama broilers, hata kishindo cha mtoto wa miaka 5 inawaua.Kwenye ile ajali mbona kama ni mlango wa bus uliparuzwa tu sasa hao walivunjika vunjikaje au walisimama ile sehemu ya makondakta?