kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Matatizo wanayo tusababishia sisi wananchi hao kima huko bungeni, bora hata yangekufa tuu! Angalau kidogo ingeleta faraja maana hayana maana zaidi ya kuifilisi nchiSiasa siyo Uadui, hujafa hujaumbika
Acha roho ya korosho
Hao wanao uliwa kwa siasa wewe huwajui kabisa kuwa nao walistahili kuishi!Siasa siyo Uadui, hujafa hujaumbika
Acha roho ya korosho
Mungu anisamehe, nimecheka sana utadhani ni mazuriDaaaaaah, nimeshangazwa na huo mgawo! Yaani hata hili, wao wamepata zaidi, yaani 2/3
Kabisa ndugu yangu. ila hawa wapo kwenye position ya kuweza kuzuia utekaji na uuaji wa watu lakini wanaangalia pembeni kwa sababu wanaofanyiwa hivyo ni upinzani au wakosoaji wa serikali. Hicho ndiyo kiini cha chuki zetu kwaoHujuwi kesho yako Mungu kakuandikia nini, waweza pata ajali mguu wote ukakatika na mkono ukatoka, chunga ulimi wako, usidhihaki wengine.
Nadhani umelewa gongo 🐼Hao wanao uliwa kwa siasa wewe huwajui kabisa kuwa nao walistahili kuishi!
Haya hayamfurahishi yeyote yanapo tokea hivi, lakini watu wa aina yako ndio mnao ongeza chuki ndani ya jamii kwa vimaneno neno vya kipuuzi kama hivi.
Ni sawa sawa na kumwambia Tundu Lissu amuonee huruma Bashite akipata ajariSiasa siyo Uadui, hujafa hujaumbika
Acha roho ya korosho
Wewe siku hizi inaonyesha huna njia ya kujifichia tena ili usijulikane kuwa ni mtu asiye kuwa makini hata kidogo.Nadhani umelewa gongo 🐼
Hii Dunia ukiwa serious Mitego lazima ikunase na uteseke sana!Wewe siku hizi inaonyesha huna njia ya kujifichia tena ili usijulikane kuwa ni mtu asiye kuwa makini hata kidogo.
Umejiachia sana!
Role model wako mwendakuzimu ndio muaasisi wa siasa za uhasamaSiasa siyo Uadui, hujafa hujaumbika
Acha roho ya korosho
Poleni wabunge. Wishing you quick recovery.Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI.
Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
View attachment 3173927
Lkn pia mkuu akinena mema juu yao inampatia vipi kinga dhidi ya mabaya?.Hujuwi kesho yako Mungu kakuandikia nini, waweza pata ajali mguu wote ukakatika na mkono ukatoka, chunga ulimi wako, usidhihaki wengine.
Hakika Mungu muweza wa yote aliewaepusha na balaa atawafanyia wepesi wapine. Get well soonWabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI.
Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
View attachment 3173927
Kuwa "serious' maana yake nini. Kufurahia uonevu wanao fanyiwa raia wengine kwa sababu tu za kuwa na maoni tofauti na ya chama chenu, ni jambo la kufurahisha hilo?Hii Dunia ukiwa serious Mitego lazima ikunase na uteseke sana!
Mungu wa mbinguni hajatuumba tuteseke
Navalonge swela 😂🔥
Mungu wa mbinguni hajatuumba tuteseke
Hivi mwenzako akikupiga kofi huko bungeni, alafu ukapita ukakuta amejikwaa, huruma inaweza ikatokea wapi, wakati una maumivu na kofi ya kodi alilokipiga huko bungeni bila kukuangalia mara 2mkuu unawezaje kuwa na huruma na mtu ambaye hana huruma na wewe?
Mkuki kwa KITIMOTOSiasa siyo Uadui, hujafa hujaumbika
Acha roho ya korosho
Naona ni wabunge wa enzi za Iddi Amin.pKweli chuki inazaa chuki....hatujui kesho yetu ila hata chembe ya huruma siisikii.
Hapana yupo sahihi kabisa.Nadhani umelewa gongo 🐼