Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

Kweli chuki inazaa chuki....hatujui kesho yetu ila hata chembe ya huruma siisikii.
 
Mkuu viongozi wengi ni kama broilers, hata kishindo cha mtoto wa miaka 5 inawaua.
Na ndiyo maana wananunua silaha nzitonzito ili kujilinda hawana ustrong ni madhaifu sana
 
Reactions: al1
Namwona karugumujuli aliyesababisha kifo cha Aqwilina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…