DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
kwa hiyo kwenye Bunge la JMT wao wanaingia kufanya nini wakati wao wana bunge lao? Je kule zanzibar pia kuna wanaotoka huku bara?Kule kuna chaguxi mbili mjumbe Baraza wawakilishi na Mbunge JMT....hawaingilianiii hata.....ingawa unafanyika siku moja hiyo hiyo....
Ahhahajaba unajitoa akili ? Sisi tukafanye nn kule ? Wao wanakuja muungano....lilia Tanganyika ......maana imemezwa JMT....wao wanakula raha tu hakuna kitu wanafanya wataongelea mambo Muungano wakati pia kule kwao kinaongelewa hicho hicho hakuna kitu wanafanya wanalala tuuuukwa hiyo kwenye Bunge la JMT wao wanaingia kufanya nini wakati wao wana bunge lao? Je kule zanzibar pia kuna wanaotoka huku bara?
ok shukrani Mkuu nimepata angalau uelewa kidogoAhhahajaba unajitoa akili ? Sisi tukafanye nn kule ? Wao wanakuja muungano....lilia Tanganyika ......maana imemezwa JMT....wao wanakula raha tu hakuna kitu wanafanya wataongelea mambo Muungano wakati pia kule kwao kinaongelewa hicho hicho hakuna kitu wanafanya wanalala tuuuu
na kwa kawaida wanakuwa wangapikwa hiyo kwenye Bunge la JMT wao wanaingia kufanya nini wakati wao wana bunge lao? Je kule zanzibar pia kuna wanaotoka huku bara?
Wanaingia kama watanzania kupanga mipango ya nchi na baraza la wakilishi wa bara hawawezi kuingia Maana lile linawakilisha wazanzibar pekee yaokwa hiyo kwenye Bunge la JMT wao wanaingia kufanya nini wakati wao wana bunge lao? Je kule zanzibar pia kuna wanaotoka huku bara?
okay asante kwa ufafanuzi, na Je wanaingia wangapi? au kila jimbo la huko linaleta mwakilishi?Wanaingia kama watanzania kupanga mipango ya nchi na baraza la wakilishi wa bara hawawezi kuingia Maana lile linawakilisha wazanzibar pekee yao
Mkuu DALALI MKUU , Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye pande mbili, Tanzania Bara, na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Bunge la JMT lina wabunge kutoka Bara na wa kutoka Zanzibar.Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje
Cc Pascal Mayalla
[HEADING=2][/HEADING]
shukran mkuu Je kule wanachaguliwaje na wanakuwa ni wangapi au wawilikishi wote wa zanzibar pia ni wabunge wa JMTMkuu DALALI MKUU , Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye pande mbili, Tanzania Bara, na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Bunge la JMT lina wabunge kutoka Bara na wa kutoka Zanzibar.
p
Kule wanakuja kutokana na idadi ya majimbo ya uchaguzi, kama majimbo yapo 10 basi wanakuja 10, faida ya zanzibar jimbo moja linakuwa na wabunge wawili, mmoja anakuja bunge la dodoma mwingine ndio anakuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi(ndio mbunge kwa znz)shukran mkuu Je kule wanachaguliwaje na wanakuwa ni wangapi au wawilikishi wote wa zanzibar pia ni wabunge wa JMT
Hapana, wawakilishi ni wabunge wa bunge lao linaitwa Baraza la wawakilishi, ila wana wachagua wawakilishi 5, kuingia Bunge la JMT. Kila jimbo la Zanzibar lina mbunge wa Bunge la JMT na lina mwakilishi wa BLW.shukran mkuu Je kule wanachaguliwaje na wanakuwa ni wangapi au wawilikishi wote wa zanzibar pia ni wabunge wa JMT
shukran sanaHapana, wawakilishi ni wabunge wa bunge lao linaitwa Baraza la wawakilishi, ila wana wachagua wawakilishi 5, kuingia Bunge la JMT. Kila jimbo la Zanzibar lina mbunge wa Bunge la JMT na lina mwakilishi wa BLW.
Bunge letu lina wabunge 393, wabunge wa Zanzibar ni 55, 50 wa majimbo na 5 wa Baraza la Wawakilishi.
P
55 Mbona wengi sana ukilinganisha na ukubwa wake na idadi ya watu. Kwa upande wangu ningeona ili kupunguza matumizi wabunge 10 wengetosha na 2 wawe wanatoka baraza la wawakilishi.Hapana, wawakilishi ni wabunge wa bunge lao linaitwa Baraza la wawakilishi, ila wana wachagua wawakilishi 5, kuingia Bunge la JMT. Kila jimbo la Zanzibar lina mbunge wa Bunge la JMT na lina mwakilishi wa BLW.
Bunge letu lina wabunge 393, wabunge wa Zanzibar ni 55, 50 wa majimbo na 5 wa Baraza la Wawakilishi.
P
Muda wa kukusanya maoni ya katiba mpya, peleka maoni yako.55 Mbona wengi sana ukilinganisha na ukubwa wake na idadi ya watu. Kwa upande wangu ningeona ili kupunguza matumizi wabunge 10 wengetosha na 2 wawe wanatoka baraza la wawakilishi.
Hivi P unaweza kuwaelezea hao wa5 wanaochaguliwa na baraza la wawakilishi kuja bunge la jamhuri kazi yao hasa ni ipi? Wana tija kweli?Hapana, wawakilishi ni wabunge wa bunge lao linaitwa Baraza la wawakilishi, ila wana wachagua wawakilishi 5, kuingia Bunge la JMT. Kila jimbo la Zanzibar lina mbunge wa Bunge la JMT na lina mwakilishi wa BLW.
Bunge letu lina wabunge 393, wabunge wa Zanzibar ni 55, 50 wa majimbo na 5 wa Baraza la Wawakilishi.
P
Ni uwakilishi tuu, sio kila posti ina tija!, mfano ma DC wana tija gani?.Hivi P unaweza kuwaelezea hao wa5 wanaochaguliwa na baraza la wawakilishi kuja bunge la jamhuri kazi yao hasa ni ipi? Wana tija kweli?