Ninachojiuliza yakianza kujadiliwa mambo yasio ya muungano kwenye Bunge la JMT wao wanatoka nnje au wanafanya nini?
Bajeti za wizara zisizo za muungano wao pia wanachangia hoja na kupitisha bajeti??
Mkuu DALALI MKUU , Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye pande mbili, Tanzania Bara, na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Bunge la JMT lina wabunge kutoka Bara na wa kutoka Zanzibar.
p