Wabunge wengi Tanzania ni Vilaza, weupe sana vichwani

Hilo bunge ni legasi ya mwendazake.
Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli.

Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe.

Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo, wameishia Kupiga makofi kwenye Yale mambo mepesi na yahovyo hovyo, kwakua hayo ndo wanayoyaweza.

Lakini maajabu Wakisimama wenye Vichwa vyenye akili,wazalendo kama MPINA, GWAJIMA, kwakua Hawa wabunge wanaongea mambo mazito, makubwa yanayohitaji Akili, basi Utaona wabunge Vichwa maji ambao ni wengi wanakaa kimya, huwez sikia makofi ya kuunga mkono hoja za wabunge wenye akili, kwann?

Kwa sababu Wabunge Vichwa maji Huwa hawaelewi kinachozungumzwa na Wabunge wenye akili.

Wabunge Hawa Vichwa maji, waletee hoja za za kijinga utaona wanavyoisasambua!

SUALA LA WAZIRI, KUPEWA HAKI YA KUTOA MISAMAHA YA KODI KWA BAADHI YA WAWEKEZAJI KWA KIGEZO CHA "MWEKEZAJI MZURI" LISIKUBALIKE ,LISIKUBALIKE NA MTANZANIA YOYOTE MWENYE AKILI TIMAMU.

MAFISADI YANARUDI KWA KASI MPAKA YANATUNGIWA SHERIA.
 
Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe
Lakini hao wote ni matokeo yake
 
Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli.

Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe.

Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo, wameishia Kupiga makofi kwenye Yale mambo mepesi na yahovyo hovyo, kwakua hayo ndo wanayoyaweza.

Lakini maajabu Wakisimama wenye Vichwa vyenye akili,wazalendo kama MPINA, GWAJIMA, kwakua Hawa wabunge wanaongea mambo mazito, makubwa yanayohitaji Akili, basi Utaona wabunge Vichwa maji ambao ni wengi wanakaa kimya, huwez sikia makofi ya kuunga mkono hoja za wabunge wenye akili, kwann?

Kwa sababu Wabunge Vichwa maji Huwa hawaelewi kinachozungumzwa na Wabunge wenye akili.

Wabunge Hawa Vichwa maji, waletee hoja za za kijinga utaona wanavyoisasambua!

SUALA LA WAZIRI, KUPEWA HAKI YA KUTOA MISAMAHA YA KODI KWA BAADHI YA WAWEKEZAJI KWA KIGEZO CHA "MWEKEZAJI MZURI" LISIKUBALIKE ,LISIKUBALIKE NA MTANZANIA YOYOTE MWENYE AKILI TIMAMU.

MAFISADI YANARUDI KWA KASI MPAKA YANATUNGIWA SHERIA.
Nadhani na wewe umeingia katika mkumbo huo huo wa hao wabunge vichwa maji. Umeponda kitu na hapo hapo katika uzi wako umeonyesha uelewa mdogo.

Unajua au umeshajiuliza ni kwanini hiyo misamaha inatolewa?. Ungefafanua ni kwa nini vibaya misamaha hiyo kutolewa kuliko kuongea kijuujuu tu. Funguka na wewe usionekane ni sawa na hao wabunge,
 
Mkuu Carlos The Jackal, kwanza naheshimu mawazo yako kama ninavyo heshimu mawazo ya mtu mwingine yoyote hata kama sikubaliani nayo.

Pili, japo ni kweli kabisa tuna baadhi ya viongozi wetu ni vilaza wakiwemo baadhi ya waheshimiwa wabunge wetu mfano huyu Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

Lakini tunapo jadili kuhusu idadi quantity, ili quantify jambo wengi, tuko kwenye digital data era, you have to give the data and the data authority kuwa iliwahi kufanyika ama research ya akili za wabunge wetu, au sensa ya wabunge wenye akili na vilaza, matokeo yakaonyesha vilaza ni wengi, then you can say wabunge wengi ni vilaza na ukawa right lakini kwa vile hakuna sensa wala research hiyo, then hakuna data, hivyo tumia neutral words kama baadhi, wanaweza kuwa wengi au wachache.

Tunapo jadili kuhusu mihimili, Serikali, Bunge, Mahakama au Taasisi nyeti kama Ikulu, Takukuru, jeshi, polisi, lets be fair, tutumie lugha za heshima, adabu na staha ili tusionekane tuna beza tukana au bagaza.
Mfano hapa

Hapa ni kumbagaza mtu!, japo not expressly, but impliedly kuonyeshea kuna mtu hana akili na sio Mzalendo, which is not fair kwa mtu wetu huyu!. Huku sio kumtendea haki!
Maneno kama haya

Sio maneno ya staha ni lugha ya kuudhi, something which is not fair!.
P
🤣🤣🤣
 
Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli.

Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe.

Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo, wameishia Kupiga makofi kwenye Yale mambo mepesi na yahovyo hovyo, kwakua hayo ndo wanayoyaweza.

Lakini maajabu Wakisimama wenye Vichwa vyenye akili,wazalendo kama MPINA, GWAJIMA, kwakua Hawa wabunge wanaongea mambo mazito, makubwa yanayohitaji Akili, basi Utaona wabunge Vichwa maji ambao ni wengi wanakaa kimya, huwez sikia makofi ya kuunga mkono hoja za wabunge wenye akili, kwann?

Kwa sababu Wabunge Vichwa maji Huwa hawaelewi kinachozungumzwa na Wabunge wenye akili.

Wabunge Hawa Vichwa maji, waletee hoja za za kijinga utaona wanavyoisasambua!

SUALA LA WAZIRI, KUPEWA HAKI YA KUTOA MISAMAHA YA KODI KWA BAADHI YA WAWEKEZAJI KWA KIGEZO CHA "MWEKEZAJI MZURI" LISIKUBALIKE ,LISIKUBALIKE NA MTANZANIA YOYOTE MWENYE AKILI TIMAMU.

MAFISADI YANARUDI KWA KASI MPAKA YANATUNGIWA SHERIA.
Kwani hao wabunge vilaza, walipitishwa na nani kwenye kamati kuu ya chama? Siyo Mwenyekiti huyo huyo unayemsifia?

Ndiyo kusema umesahau, au umeamua tu kujitoa ufahamu?
 
Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli.

Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe.

Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo, wameishia Kupiga makofi kwenye Yale mambo mepesi na yahovyo hovyo, kwakua hayo ndo wanayoyaweza.

Lakini maajabu Wakisimama wenye Vichwa vyenye akili,wazalendo kama MPINA, GWAJIMA, kwakua Hawa wabunge wanaongea mambo mazito, makubwa yanayohitaji Akili, basi Utaona wabunge Vichwa maji ambao ni wengi wanakaa kimya, huwez sikia makofi ya kuunga mkono hoja za wabunge wenye akili, kwann?

Kwa sababu Wabunge Vichwa maji Huwa hawaelewi kinachozungumzwa na Wabunge wenye akili.

Wabunge Hawa Vichwa maji, waletee hoja za za kijinga utaona wanavyoisasambua!

SUALA LA WAZIRI, KUPEWA HAKI YA KUTOA MISAMAHA YA KODI KWA BAADHI YA WAWEKEZAJI KWA KIGEZO CHA "MWEKEZAJI MZURI" LISIKUBALIKE ,LISIKUBALIKE NA MTANZANIA YOYOTE MWENYE AKILI TIMAMU.

MAFISADI YANARUDI KWA KASI MPAKA YANATUNGIWA SHERIA.
Ndio unajuwa leo? Wape paper na wabunge wakenye uwone kitakacho tokea kama zero na 4 hazitokuwa Tz.
 
Huyo hayati si ndo alikuwa anasema niretee huyu,niretee yule?
 
Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli.

Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe.

Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo, wameishia Kupiga makofi kwenye Yale mambo mepesi na yahovyo hovyo, kwakua hayo ndo wanayoyaweza.

Lakini maajabu Wakisimama wenye Vichwa vyenye akili,wazalendo kama MPINA, GWAJIMA, kwakua Hawa wabunge wanaongea mambo mazito, makubwa yanayohitaji Akili, basi Utaona wabunge Vichwa maji ambao ni wengi wanakaa kimya, huwez sikia makofi ya kuunga mkono hoja za wabunge wenye akili, kwann?

Kwa sababu Wabunge Vichwa maji Huwa hawaelewi kinachozungumzwa na Wabunge wenye akili.

Wabunge Hawa Vichwa maji, waletee hoja za za kijinga utaona wanavyoisasambua!

SUALA LA WAZIRI, KUPEWA HAKI YA KUTOA MISAMAHA YA KODI KWA BAADHI YA WAWEKEZAJI KWA KIGEZO CHA "MWEKEZAJI MZURI" LISIKUBALIKE ,LISIKUBALIKE NA MTANZANIA YOYOTE MWENYE AKILI TIMAMU.

MAFISADI YANARUDI KWA KASI MPAKA YANATUNGIWA SHERIA.
Lakini mkuu, hayati ndo alituwekea hao vilaza hapo bungeni!
 
Yes wabunge baadhi ni vilaza,ni wachache sana ambao exceptional

Lakin sasa unashindwa kuelewa wabunge hawa ni zao ya mwenyekiti wa ccm aliepita.
Yaani yeye ndie alie approve ( wengine hawakushinda hata kura za maoni majimboni mwao ) lakin mwenyekiti alitumia influence yake kuwapitisha,
No offence kwa mwenyekiti aliepita, umesifia kuwa kasoma ana elimu ni mzalendo. Yes ni kweli.
Lakin angalia aina ya team iliyokuwa inamzunguka? Unataka kuniambia aliona ujinga wao na akakubali wawe viongozi?
 
Back
Top Bottom