Wabunge wengi Tanzania ni Vilaza, weupe sana vichwani

Hilo bunge ni legasi ya mwendazake.
 
Lakini hao wote ni matokeo yake
 
Nadhani na wewe umeingia katika mkumbo huo huo wa hao wabunge vichwa maji. Umeponda kitu na hapo hapo katika uzi wako umeonyesha uelewa mdogo.

Unajua au umeshajiuliza ni kwanini hiyo misamaha inatolewa?. Ungefafanua ni kwa nini vibaya misamaha hiyo kutolewa kuliko kuongea kijuujuu tu. Funguka na wewe usionekane ni sawa na hao wabunge,
 
🤣🤣🤣
 
Kwani hao wabunge vilaza, walipitishwa na nani kwenye kamati kuu ya chama? Siyo Mwenyekiti huyo huyo unayemsifia?

Ndiyo kusema umesahau, au umeamua tu kujitoa ufahamu?
 
Ndio unajuwa leo? Wape paper na wabunge wakenye uwone kitakacho tokea kama zero na 4 hazitokuwa Tz.
 
Huyo hayati si ndo alikuwa anasema niretee huyu,niretee yule?
 
Lakini mkuu, hayati ndo alituwekea hao vilaza hapo bungeni!
 
Yes wabunge baadhi ni vilaza,ni wachache sana ambao exceptional

Lakin sasa unashindwa kuelewa wabunge hawa ni zao ya mwenyekiti wa ccm aliepita.
Yaani yeye ndie alie approve ( wengine hawakushinda hata kura za maoni majimboni mwao ) lakin mwenyekiti alitumia influence yake kuwapitisha,
No offence kwa mwenyekiti aliepita, umesifia kuwa kasoma ana elimu ni mzalendo. Yes ni kweli.
Lakin angalia aina ya team iliyokuwa inamzunguka? Unataka kuniambia aliona ujinga wao na akakubali wawe viongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…