ChangeTZ
Member
- Nov 13, 2018
- 52
- 129
Huyu jamaa ni mdau muhimu sana wa Tetesi. BADO NANI? ulisema watatuKuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.
Yetu macho!