Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

E9DF5C6F-555A-4F0A-82EE-E690F2C8121B.gif
 
Naombea pia yule anayeongozaga watu na wanyama ahamie nyumba kubwa.ni mtu wa haiba ya kimaendeleo simuoni kama mpinzani chonganishi
 
Uteuzi wa waitara unadhihirisha kabisa viongozi wenye ‘mission & vision’ ya kuingoza nchi hii bado wapo upande wa upinzani, waliyopo ccm ni manunga liyembe yasiyo na uwezo!
 
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!

they may be ministers who knows
 
Subirini mnyooshwe kwanza

Mlijidai mkakamatwa kwenye vyeti feki

Then tukawafuata kwenye EFD ili magendo mliyokuwa mkifanya CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO yakome.

Mmeshasalimu amri ingawa bado tutawashughulikia tu.
Labda mhamie Kenya
Kwa kuwakomoa wachaga huwezi labda ukapige Bomu kama LA Hiroshima na Nagasaki utafaulu,tusubiri desemba
 
Tumaini letu lipo kwenye nguvu ya umma wala sio upinzani tena.Siku moja nchi itasimama kusema inatosha sasa.
 
Angetaka kweli apige kiki la kuzima korosho angemtengua DAB.... Hapo nchi nzima ingezizima.
Hahaaaaa Makonda issue ya vyeti nakuachwa ilikera wengi wakati maelfu ya wafanyakazi wakifukuzwa kazi, hii issue ya Raisi kumkingia kifua kumemshushia heshima kubwa Raisi aisee
 
I've kumbe Tanzania bado Kuna upinzani ??? [emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hapana Mashinji ndiye anayembeba Mbowe.

Mbowe ndio anaua chama.
Mashinji ile ni akili kubwa inaongozwa na akili kisoda.

Mashinji anastahili kujuzulu na kumwachia Mbowe Chama Chake.
Wanahangaika kukamatwa na makesi kibao kwa sababu ya kumjemgea Mbowe Chama chake binafsi.

Kama mtu sio wa Kabila na ukoo wa Mbowe ni Bora akahamia hata ACT kuliko kuumia kwa ajali ya mtu asiye na Shukurani.

Makamanda wanapigania Chama usiku na Mchaka wakati Mbowe akiwa anakuala starehe Dubai ,Marekani,Ujerumani na Afrika kusini,Chama kikipata mafanikio, Mbowe bila aibu anakuja na kuwakejeli makamanda kwa kuwa waambia kuwa ,'MIMI PEKEE NDIYE ROHO YA CHAMA ,HAKUNA WA KUWEZA KUONGOZA CHAMA HIKI NILICHOKIASISI'.

Kwa dharau hiyo ya Mbowe hakuna Mtu Mwenye Akili atakayeweza kubaki Chadema Chini uongozi wa Huyo mtu. Bora watu wakale Bata huko CCM kuliko kupakana Mafuta kwa mgongo wa Chupa ,eti tupiganie Chama makamanda wakati ,yeye bila Uenyekiti anarudi kesho asubuhi CCM.
Huwa unaonekana uko vizuri juu ya mwili
 
Back
Top Bottom