Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Kwan deadline day bado??????
 
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Ni Bora kubaki na kumi strong kuliko kuwa na milioni weak!
 
Hizi ni habari za uongo ili kufunika mashoga na korosho.
 
Ni sawa tu....hao wanaohama ni wazuri ndio maana wanatakiwa na kupewa vyeo...!!
 
Wana fata teuzi sio
Nyie wakongwe wafia chama mna ng'aza sharubu tu wenzenu wakilamba teuzi
 
Lowasa ameingiaje tena kwenye hilo duh! Cha Arusha nouma kweli
enzi za Lowasa kuitwa fisadi kwa tubilioni zishapitwa na wakati.

fisadi nambari wani wa sasa yeye ni mwendo wa matrilioni tu (1.5tr, 2.1tr nk)!!
 
WAONGEZEEENI DAU JAMANI MILIONI 60 NDOGO SANA KWA USAJILI ILI HATA THE ECONOMIST NEXT TIME WAKITUCHAMBA WA UPGRADE HIZO FIGURES FANYENI HATA MILIONI 300 KWA KICHWA
 
Saccos inakimbiwa kama kimba walahi
 
Back
Top Bottom