Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!

Je na hawa kama wakikaidi / wakidinda / wakikataa kuhamia huko wanakotakiwa kwenda, nao safari hii hawatotishiwa Kuchukuliwa kilazima na Malori mapya haya ya Jeshi kama kwa sakata la Korosho?
 
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Wanachama tuko ngangari, umesikia nani kahamia zaidi ya hawa waganga njaa.
 
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Weka sawa kauli yako "wazito" hakuna wapinzani wepesi kwa taarifa yako ... .afu huo ni ushubwada tu kufuatilia team Kama zile
 
Tununue kwanza korosho tusije tukamaliza kibubu kwenye usajili tukaua watu njaa..
 
Mtaendelea kufukuza mawaziri, hakuna viwanda mwisho ni kununua tu watu, uchumi umadumaa. CCM ni zaidi ya shetani
Pato la Taifa linatumika kwa mambo ya hovyo hovyo hakuna viwanda wala maendeleo pesa zotee zinatumika kudumaza demokrasia kudhoofisha chadema na kuua upinzani, pesa inayotumika kwa mambo yasiyo na Tija kwa Taifa ni kubwa sana na endapo ingekuwa inatumika kuleta maendeleo Leo hii Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kiliko South Africa.
 
Back
Top Bottom