Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Hakuna jipya wala la kushangaza. Wamepikwa wakapikika; dau limepanda na muda wa mwisho wa kupokea mal aya umekaribia. Itapendeza wakiondoka hata kumi kabla ya hiyo Nov 15. Usafi unaofanyika Chadema unanenepesha mifupa.
 
Back
Top Bottom