Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Mtaendelea kufukuza mawaziri, hakuna viwanda mwisho ni kununua tu watu, uchumi umadumaa. CCM ni zaidi ya shetani
We hujasikia yule msemaji wa 'sirikali' mwenye uprof wa kichina akisema vipo viwanda 3000 tayari? Kuorodhesha tu ndo mbinde!
 
naona Mwita amepewa nafasi makusudi ili kuwavutia wengine
 
Mboye anaendelea kumbeba Mashinji tu Chama kinazidi kupotea kwenye ramani za kisiasa
Hapana Mashinji ndiye anayembeba Mbowe.

Mbowe ndio anaua chama.
Mashinji ile ni akili kubwa inaongozwa na akili kisoda.

Mashinji anastahili kujuzulu na kumwachia Mbowe Chama Chake.
Wanahangaika kukamatwa na makesi kibao kwa sababu ya kumjemgea Mbowe Chama chake binafsi.

Kama mtu sio wa Kabila na ukoo wa Mbowe ni Bora akahamia hata ACT kuliko kuumia kwa ajali ya mtu asiye na Shukurani.

Makamanda wanapigania Chama usiku na Mchaka wakati Mbowe akiwa anakuala starehe Dubai ,Marekani,Ujerumani na Afrika kusini,Chama kikipata mafanikio, Mbowe bila aibu anakuja na kuwakejeli makamanda kwa kuwa waambia kuwa ,'MIMI PEKEE NDIYE ROHO YA CHAMA ,HAKUNA WA KUWEZA KUONGOZA CHAMA HIKI NILICHOKIASISI'.

Kwa dharau hiyo ya Mbowe hakuna Mtu Mwenye Akili atakayeweza kubaki Chadema Chini uongozi wa Huyo mtu. Bora watu wakale Bata huko CCM kuliko kupakana Mafuta kwa mgongo wa Chupa ,eti tupiganie Chama makamanda wakati ,yeye bila Uenyekiti anarudi kesho asubuhi CCM.
 
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Hivi mwenye akili timamu atashangaa haya,hawa watu ni watanzania,kuhama wanasogea tu,tunachojua kuwa nchi imeshawashinda ccm,wameziona hotuba za nguvu toka chadema za wabunge watatu,ambao hata wakibaki peke yao sisi watoto wa wakulima tunaona poa tuu.
Hameni mpaka muishe lakini mwisho wa siku ni Watanzania wote wanateseka.
 
CCM tayari imekataa Maombi ya Lema, Zitto Na Sugu kurudi 'Uzalendoni''
Hahahahahaha....umewasahau Halima Mdee,Mbowe,Msigwa,Tundu Lissu, na Heche wote hao CCM imegoma kuwapokea.
CCM hoyeeeeeee....
******** hoyeeeee.....
 
J
Hahahahahaha....umewasahau Halima Mdee,Mbowe,Msigwa,Tundu Lissu, na Heche wote hao CCM imegoma kuwapokea.
CCM hoyeeeeeee....
******** hoyeeeee.....
Jinga wewe,kwani jina la Baba yako ni ccm au Kitu kingine,chama hata mkeo anaweza anzisha issue ni unafiki umezidi.
 
Wahamie wote ili tujenge Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati...
 
Mboye anaendelea kumbeba Mashinji tu Chama kinazidi kupotea kwenye ramani za kisiasa
Ni kweli mkuu,watanzania wana imani na CCM,hatuwataki chadema ndo walipitisha miswaada ya Dhahabu,gesi,uranium, na umaskini wa Tanzania umeletwa na Tundu Lissu,Mbowe na wenzao.
CCM hoyeee....
******** hoyeeee...
 
Back
Top Bottom