Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia.
Leo hii Unajiuliza iweje Wabunge wote wa CCM waliosimama kuchangia muswada ule wameunga mkono Ugawaji holela ya bandari yetu kwa mwarabu. Ina maana hakuna hata mmoja aliyeona kuna shida katika huo mkataba
Unajiuliza Wabunge wenye kutetea masilahi ya Taifa kama Luhaga mpina kwa nini hawkupewa nafasi na spika kuchangia?
Je, wamenyimwa nafasi ya kuchangia, au wameamua kunawa mikono kwa kukaa kimya wasibaliki udalali huu wa bandari yetu.
Kwa ni Luhaga Mpina hakuongea, Kwa nini Bashiru Ally hakuongea? Kwa nini Mchungaji Gwajima hakuongea?