Wabunge wetu, hasa Msukuma, mmeiumbua serikali kwa kuvunja sheria ya ROAD FUND

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010

Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria.
Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini.

Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria.

Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini.

Pili tuelezwe hizo fedha zimepelekwa wapi na kwa kiwango kipi.

Kitu ambacho serikali inafanya kwa makusudi ni kwamba inaziachia taasisi za ujenzi kama TANROADS na TARURA watoe kazi wakati hakuna uhakika wa kuwalipa wakandarasi.
HUU NI UHUNI.

Matokeo ya wazi ni wakandarasi kufilisiwa na mabenki.
Hili linajenga chuki kwa serikali.
 
Sio msukuma aliyeiumbua serikali.
Ni kamati ya bunge ya miundombinu ikiongozwa na mbunge wa kilombero, Asenga.
Muwe mna taarifa kabla ya kuanzisha nyuzi humu.
 
Sasa ukisemea kwapani nani atakusikia.
Kwa unavyoandika hapa inaonekana hata taratibu za bunge huzijui.

Hili ni bunge la budget, kabla budget ya wizara husika kusomwa, kamati ya bunge inayohusiana na hio wizara husoma kwanza taarifa yake pamoja na mapendekezo yake ili kuona alignment ya budget ya wizara na uhalisia wa mahitaji kwa wananchi.
Kwahyo hawasemei kwapani na ndo maana hata bungeni leo na jana pia, wabunge kama Nape na wenzake wameanza kuongelea hela za road fund kutokutumika na kutokupelekwa kama sheria namba 202 inavyotaka kutokana na taarifa ya kamati ya bunge ya miundombinu iliyosomwa na Mh Asenga.

Pendeni kutafuta taarifa sahihi, muachane na udaku.
 
Hapo unamkosea Jidu kwa kusema kuwa post yake ni udaku au labda hujui maana ya udaku. Kama hoja ilianzia kwenye kamati ni sawa lakini naye Msukuma ametoa mchango wake na wote tumemsikia sasa hivyo udaku wa Jidu uko wapi?
 
Re read nilichoandika mkuu.
 
Ndo maana barabara hazijarabatiwi siku hiz. Nchi nzima ni mashimo Kila mahali
 
Kwa unavyoandika hapa inaonekana hata taratibu za bunge huzijui.

Hili ni bunge la budget, kabla budget ya wizara husika kusomwa, kamati ya bunge inayohusiana na hio wizara husoma kwanza taarifa yake pamoja na mapendekezo yake ili kuona alignment ya budget ya wizara na uhalisia wa mahitaji kwa wananchi.
Kwahyo hawasemei kwapani na ndo maana hata bungeni leo na jana pia, wabunge kama Nape na wenzake wameanza kuongelea hela za road fund kutokutumika na kutokupelekwa kama sheria namba 202 inavyotaka kutokana na taarifa ya kamati ya bunge ya miundombinu iliyosomwa na Mh Asenga.

Pendeni kutafuta taarifa sahihi, muachane na udaku.
Tatizo lenu ni uoga na kutaka kujikojolea kila napoisikia serikali.
Uoga hsufai, paza sauti hata kabla ya bunge watu wafahamu uozo uliomo serikali.
Sasa kama una mshipa tutajie muhusika aliyebuni wizi wa hela ya Road Fund.
 
Hapo unamkosea Jidu kwa kusema kuwa post yake ni udaku au labda hujui maana ya udaku. Kama hoja ilianzia kwenye kamati ni sawa lakini naye Msukuma ametoa mchango wake na wote tumemsikia sasa hivyo udaku wa Jidu uko wapi?
Achana naye huyo, kuna wabunge wanataka sifa lakini wakikodolewa macho wanajikojolea.
 
This is just much ado about nothing! Substance ya ujumbe inabadilikaje hapa?
Mkuu kuna watu wana info za kuiwajibisha serikali lakini ni waoga ,hadi atokee mtu kama Msukuma apige kelele ndio wanajitokeza na kusema mimi ndio nilikuwa wa kwanza kulisemea.
Jambo sensitive si vema kilisemea kwapani.
 
Hawa wabunge mpaka yawafike ndio wapige kelele
 
View attachment 3592571
Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria.
Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini.

Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria.

Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini.

Pili tuelezwe hizo fedha zimepelekwa wapi na kwa kiwango kipi.

Kitu ambacho serikali inafanya kwa makusudi ni kwamba inaziachia taasisi za ujenzi kama TANROADS na TARURA watoe kazi wakati hakuna uhakika wa kuwalipa wakandarasi.
HUU NI UHUNI.

Matokeo ya wazi ni wakandarasi kufilisiwa na mabenki.
Hili linajenga chuki kwa serikali.
Umeongea ukweli msukuma
Unakisaidia chama kisicho sikivu..hali ya barabara nchi nzima ni mbovu mnoo!
 
Back
Top Bottom