Wabunge wetu, hasa Msukuma, mmeiumbua serikali kwa kuvunja sheria ya ROAD FUND

Wabunge wetu, hasa Msukuma, mmeiumbua serikali kwa kuvunja sheria ya ROAD FUND

View attachment 3592571
Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria.
Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini.

Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria.

Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini.

Pili tuelezwe hizo fedha zimepelekwa wapi na kwa kiwango kipi.

Kitu ambacho serikali inafanya kwa makusudi ni kwamba inaziachia taasisi za ujenzi kama TANROADS na TARURA watoe kazi wakati hakuna uhakika wa kuwalipa wakandarasi.
HUU NI UHUNI.

Matokeo ya wazi ni wakandarasi kufilisiwa na mabenki.
Hili linajenga chuki kwa serikali.
Nami naunga mkono watajwe ili waone aibu
 
IMG-20260522-WA0002.jpg

Mafanikio ya Awamu ya 6.
Hii barabara ilikuwa nzuri sana.
Hela ya ukarabati imelowa, imezidibkuporomoka.
 
Kuna wabunge ccm wapo tu kwa sababu ya uoga ila wakawa huru watafunua mengi sana. Msukuma na yule dada aliyeongea akataka kulia tokana na vifo after daraja lao kusombwa na mvua ni mfano wa kuigwa. Na soi siri wana chembe chembe ya upinzani tatizo wameamua kuogopa ili maisha yasonge ila ipo cku. Bunge letu hawana cha maana na ndio maana watu tulishachoka kuangalia mambo ya wabunge ila ukisikiliza hoja ya mmoja mmoja wana hoja za msingi
 
Kumbe ndio maana mwaka huu ndio unaongiza kwa barabara kuwa mbovu. Lakini pia, wakandarasi watoe guarantee ya miaka 50 kwa kila barabara, hatuweza kutumia pesa kurudia ujenzi kila mwaka, hii si sawa
 
Kuna wabunge ccm wapo tu kwa sababu ya uoga ila wakawa huru watafunua mengi sana. Msukuma na yule dada aliyeongea akataka kulia tokana na vifo after daraja lao kusombwa na mvua ni mfano wa kuigwa. Na soi siri wana chembe chembe ya upinzani tatizo wameamua kuogopa ili maisha yasonge ila ipo cku. Bunge letu hawana cha maana na ndio maana watu tulishachoka kuangalia mambo ya wabunge ila ukisikiliza hoja ya mmoja mmoja wana hoja za msingi
Take note Deleted01
 
hizo rolls royce, bentleys, g-wagons ((toleo mpya zote) mnazoziona barabarani kila siku unafikiri wanaozinunua wanatoa fedha mifukoni mwao? la hasha, wanachukuwa fedha za serikali kwa matumizi binafsi hata kiwanda cha gesi kinachojengwa mombasa kenya hiyo fedha ya kiwanda ni yetu wamechukuwa serikalini lkn ni kwa matumizi na mali ya mtu binafsi, halafu mnawasifu kwamba ni “mabilionea” lkn ukweli ni kwamba wanapora fedha za wananchi na kuzigeuza zao na ndiyo maana ripoti ya cag hata raisi anaipuuzia kwa maana anajua kinachoendelea, pure evil ...
 
Kwa unavyoandika hapa inaonekana hata taratibu za bunge huzijui.

Hili ni bunge la budget, kabla budget ya wizara husika kusomwa, kamati ya bunge inayohusiana na hio wizara husoma kwanza taarifa yake pamoja na mapendekezo yake ili kuona alignment ya budget ya wizara na uhalisia wa mahitaji kwa wananchi.
Kwahyo hawasemei kwapani na ndo maana hata bungeni leo na jana pia, wabunge kama Nape na wenzake wameanza kuongelea hela za road fund kutokutumika na kutokupelekwa kama sheria namba 202 inavyotaka kutokana na taarifa ya kamati ya bunge ya miundombinu iliyosomwa na Mh Asenga.

Pendeni kutafuta taarifa sahihi, muachane na udaku.
i think hata msukuma na yule dada alotaka kulia bungen walikuwa wanaiambia serikali na sio wabunge. Sasa ukija na vifungu no. Mia cjui na ngapi ni kama hata wewe umecoment na mihemko sana. Labda ufafanue unachokijua kuhusu bunge ili na tusioelewa tupate kuelewa kutoka kwako
 
Back
Top Bottom