Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Sio msukuma aliyeiumbua serikali.Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria.
Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini.
Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria.
Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini.
Pili tuelezwe hizo fedha zimepelekwa wapi na kwa kiwango kipi.
Kitu ambacho serikali inafanya kwa makusudi ni kwamba inaziachia taasisi za ujenzi kama TANROADS na TARURA watoe kazi wakati hakuna uhakika wa kuwalipa wakandarasi.
HUU NI UHUNI.
Matokeo ya wazi ni wakandarasi kufilisiwa na mabenki.
Hili linajenga chuki kwa serikali.
Sasa ukisemea kwapani nani atakusikia.Sio msukuma aliyeiumbua serikali.
Ni kamati ya bunge ya miundombinu ikiongozwa na mbunge wa kilombero, Asenga.
Muwe mna taarifa kabla ya kuanzisha nyuzi humu.
Kwa unavyoandika hapa inaonekana hata taratibu za bunge huzijui.Sasa ukisemea kwapani nani atakusikia.
Hapo unamkosea Jidu kwa kusema kuwa post yake ni udaku au labda hujui maana ya udaku. Kama hoja ilianzia kwenye kamati ni sawa lakini naye Msukuma ametoa mchango wake na wote tumemsikia sasa hivyo udaku wa Jidu uko wapi?Kwa unavyoandika hapa inaonekana hata taratibu za bunge huzijui.
Hili ni bunge la budget, kabla budget ya wizara husika kusomwa, kamati ya bunge inayohusiana na hio wizara husoma kwanza taarifa yake pamoja na mapendekezo yake ili kuona alignment ya budget ya wizara na uhalisia wa mahitaji kwa wananchi.
Kwahyo hawasemei kwapani na ndo maana hata bungeni leo na jana pia, wabunge kama Nape na wenzake wameanza kuongelea hela za road fund kutokutumika na kutokupelekwa kama sheria namba 202 inavyotaka kutokana na taarifa ya kamati ya bunge ya miundombinu iliyosomwa na Mh Asenga.
Pendeni kutafuta taarifa sahihi, muachane na udaku.
Re read nilichoandika mkuu.Hapo unamkosea Jidu kwa kusema kuwa post yake ni udaku au labda hujui maana ya udaku. Kama hoja ilianzia kwenye kamati ni sawa lakini naye Msukuma ametoa mchango wake na wote tumemsikia sasa hivyo udaku wa Jidu uko wapi?
Tatizo lenu ni uoga na kutaka kujikojolea kila napoisikia serikali.Kwa unavyoandika hapa inaonekana hata taratibu za bunge huzijui.
Hili ni bunge la budget, kabla budget ya wizara husika kusomwa, kamati ya bunge inayohusiana na hio wizara husoma kwanza taarifa yake pamoja na mapendekezo yake ili kuona alignment ya budget ya wizara na uhalisia wa mahitaji kwa wananchi.
Kwahyo hawasemei kwapani na ndo maana hata bungeni leo na jana pia, wabunge kama Nape na wenzake wameanza kuongelea hela za road fund kutokutumika na kutokupelekwa kama sheria namba 202 inavyotaka kutokana na taarifa ya kamati ya bunge ya miundombinu iliyosomwa na Mh Asenga.
Pendeni kutafuta taarifa sahihi, muachane na udaku.
Achana naye huyo, kuna wabunge wanataka sifa lakini wakikodolewa macho wanajikojolea.Hapo unamkosea Jidu kwa kusema kuwa post yake ni udaku au labda hujui maana ya udaku. Kama hoja ilianzia kwenye kamati ni sawa lakini naye Msukuma ametoa mchango wake na wote tumemsikia sasa hivyo udaku wa Jidu uko wapi?
Kama wewe ni mbunge basi ni mlenda, you have no balls kuelezea matatizo eloquently kama Msukuma.Sio msukuma aliyeiumbua serikali.
Ni kamati ya bunge ya miundombinu ikiongozwa na mbunge wa kilombero, Asenga.
Muwe mna taarifa kabla ya kuanzisha nyuzi humu.
Na ndio maana wewe sio mbunge.Kama wewe ni mbunge basi ni mlenda, you have no balls kuelezea matatizo eloquently kama Msukuma.
I was right on first intuition, furthermore kama ni mwanamke lazima ulijiuza.Na ndio maana wewe sio mbunge.
Upo sahihi.I was right on first intuition, furthermore kama ni mwanamke lazima ulijiuza.
This is just much ado about nothing! Substance ya ujumbe inabadilikaje hapa?Sio msukuma aliyeiumbua serikali.
Ni kamati ya bunge ya miundombinu ikiongozwa na mbunge wa kilombero, Asenga.
Muwe mna taarifa kabla ya kuanzisha nyuzi humu.
Mkuu kuna watu wana info za kuiwajibisha serikali lakini ni waoga ,hadi atokee mtu kama Msukuma apige kelele ndio wanajitokeza na kusema mimi ndio nilikuwa wa kwanza kulisemea.This is just much ado about nothing! Substance ya ujumbe inabadilikaje hapa?
Umeongea ukweli msukumaView attachment 3592571
Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria.