Wabunge wetu, hasa Msukuma, mmeiumbua serikali kwa kuvunja sheria ya ROAD FUND

Nami naunga mkono watajwe ili waone aibu
 
Kuna wabunge ccm wapo tu kwa sababu ya uoga ila wakawa huru watafunua mengi sana. Msukuma na yule dada aliyeongea akataka kulia tokana na vifo after daraja lao kusombwa na mvua ni mfano wa kuigwa. Na soi siri wana chembe chembe ya upinzani tatizo wameamua kuogopa ili maisha yasonge ila ipo cku. Bunge letu hawana cha maana na ndio maana watu tulishachoka kuangalia mambo ya wabunge ila ukisikiliza hoja ya mmoja mmoja wana hoja za msingi
 
Kumbe ndio maana mwaka huu ndio unaongiza kwa barabara kuwa mbovu. Lakini pia, wakandarasi watoe guarantee ya miaka 50 kwa kila barabara, hatuweza kutumia pesa kurudia ujenzi kila mwaka, hii si sawa
 
Take note Deleted01
 
Zitakuwa zimeenda Zanzibar bila shaka
Kamati ya miundo mbinu na kamati za fedha za bunge zichunguze fedha inaenda wapi.
Huwezi ficha movement ya pesa.
Tusimng'unye maneno, tatizo hili lilianza wakati Mwigulu Nchemba akiwa waziri wa fedha.
 
hizo rolls royce, bentleys, g-wagons ((toleo mpya zote) mnazoziona barabarani kila siku unafikiri wanaozinunua wanatoa fedha mifukoni mwao? la hasha, wanachukuwa fedha za serikali kwa matumizi binafsi hata kiwanda cha gesi kinachojengwa mombasa kenya hiyo fedha ya kiwanda ni yetu wamechukuwa serikalini lkn ni kwa matumizi na mali ya mtu binafsi, halafu mnawasifu kwamba ni “mabilionea” lkn ukweli ni kwamba wanapora fedha za wananchi na kuzigeuza zao na ndiyo maana ripoti ya cag hata raisi anaipuuzia kwa maana anajua kinachoendelea, pure evil ...
 
i think hata msukuma na yule dada alotaka kulia bungen walikuwa wanaiambia serikali na sio wabunge. Sasa ukija na vifungu no. Mia cjui na ngapi ni kama hata wewe umecoment na mihemko sana. Labda ufafanue unachokijua kuhusu bunge ili na tusioelewa tupate kuelewa kutoka kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…